Mwaka 2020 ni jambo gani hutolisahau?

Kumbe uliumwa Corona shosti Pole sana
 
Sitosahau ni mwaka niliopata hela kiwango ambacho sijawahi kuipata na mwaka niliovunjiwa na kuibiwa usiku ila bahati sikuwepo ndani na baadae polisi wakanigeuka na kutaka kunishikilia kwa njaa zao tu
 
Kumbe uliumwa Corona shosti Pole sana
Unaona sasa jinsi ulivyo zuzu? Yaani wewe akili huna kabisa,rudia tena kusoma hiyo paragraph ya 5

Umethibitisha uzuzu wako kakituko ka JF.

Wewe ni wakuonewa huruma aisee.
 
Shosti PoleπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Unaona sasa jinsi ulivyo zuzu? Yaani wewe akili huna kabisa,rudia tena kusoma hiyo paragraph ya 5

Umethibitisha uzuzu wako kakituko ka JF.

Wewe ni wakuonewa huruma aisee.
 
Shosti PoleπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Zuzu umenikimbia kule! Dozi niliyokupa umeweweseka sana,

Nimekwambia wewe ni kituko humu jf,kimtu cha hovyo hovyo,nakusubiri kule huko kwingine sitokujibu,
Njoo kule niendeleze matibabu japo upate nafuu.
 
Shostie poleπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Zuzu umenikimbia kule! Dozi niliyokupa umeweweseka sana,

Nimekwambia wewe ni kituko humu jf,kimtu cha hovyo hovyo,nakusubiri kule huko kwingine sitokujibu,
Njoo kule niendeleze matibabu japo upate nafuu.
 
April kuumwa , Covid, na Trump kupoteza uraisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…