Mwaka 2020 polepole alisema anayetaka fomu ya urais amfuate magufuli huku anacheka kwa dharau na kebehi na samia anafanya kilekile kwa utofauti

Mwaka 2020 polepole alisema anayetaka fomu ya urais amfuate magufuli huku anacheka kwa dharau na kebehi na samia anafanya kilekile kwa utofauti

Mpigania uhuru wa pili

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2023
Posts
3,380
Reaction score
6,376
Mkutano wa ccm umempitisha Rais samia kama mgombea wa nafasi ya urais lakin unamlaumuje Samia ilihali mwanzilishi wa haya yote ni magufuli na wapambe wake

Mwaka 2020 polepole huku anacheka kwa kebehi na dharau alisema anayetaka fomu ya urais amfuate magufuli lilikua ni tukio lililochukuliwa kwa udogo ila lilikua na madhara makubwa sana ndo tumeanza kuyaona leo

Baadhi walikemea ule utaratibu wa kihuni ila waliishiwa kubezwa ccm ni chama ambacho kinaelekea gizani mambo mengi yanafanyika gizani

Kikwete Rais mstaafu ni moja ya mtu wa ajabu yeye ndo angetakiwa kuwa wakwanza kukemea huu usiginaji wa demokrasia lakin hajali katika watu ambao najiuliza walipataje urais ni huyu mzee ndo maana siajabu ni moja ya mtu anayechukiwa sana
 
Back
Top Bottom