Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Kwakuwa WATAWALA wetu wanapenda kutumia ubabe wa kidola na wanafanya hila nyingi kukaa madarakani na vyombo vya dola haviangalii haki na Sheria na bunge limewekwa mfukoni huku mahakama ikiwa Haina meno basi uchaguzi wa 2020 unaweza ukawa wa kumwaga damu hapa Tanzania.
Ni ukweli ulio wazi CCM haitakiwi kabisa Tanzania ndio maana wanawarubuni watanzania kila siku kwamba magu ni Mungu mtu ila wajiangalie mwaka huu watu hawatakubali ukikaa ukiwasikiliza vijana mitaani hakika wako tayari kabisa kuianzisha fujo Kama utawala huu utachezea haki yao.
Msiwaone wako kimya.