Uchaguzi 2020 Mwaka 2020 Tanzania inaweza kumwaga damu kwa hulka ya watawala

Kwakuwa WATAWALA wetu wanapenda kutumia ubabe wa kidola na wanafanya hila nyingi kukaa madarakani na vyombo vya dola haviangalii haki na Sheria na bunge limewekwa mfukoni huku mahakama ikiwa Haina meno basi uchaguzi wa 2020 unaweza ukawa wa kumwaga damu hapa Tanzania.

Ni ukweli ulio wazi CCM haitakiwi kabisa Tanzania ndio maana wanawarubuni watanzania kila siku kwamba magu ni Mungu mtu ila wajiangalie mwaka huu watu hawatakubali ukikaa ukiwasikiliza vijana mitaani hakika wako tayari kabisa kuianzisha fujo Kama utawala huu utachezea haki yao.
Msiwaone wako kimya.
Ahahahahha umenifurahisha uliposema vijana wako tayari; yaani wewe haupo tayari.

Sema tupo tayari afu utaona balaa lake-kunsi wee. Unawaza kumwaga damu, sasa ngoja mbwa mkubwa wee!
 
zamani ccm ilikua chama cha siasa lakini kwa sasa ni GENGE LA UHALIFU NCHINI LILILOJIFICHA KWENYE KIVULI CHA CHAMA CHA SIASA
 
Kwakuwa WATAWALA wetu wanapenda kutumia ubabe wa kidola na wanafanya hila nyingi kukaa madarakani na vyombo vya dola haviangalii haki na Sheria na bunge limewekwa mfukoni huku mahakama ikiwa Haina meno basi uchaguzi wa 2020 unaweza ukawa wa kumwaga damu hapa Tanzania.

Ni ukweli ulio wazi CCM haitakiwi kabisa Tanzania ndio maana wanawarubuni watanzania kila siku kwamba magu ni Mungu mtu ila wajiangalie mwaka huu watu hawatakubali ukikaa ukiwasikiliza vijana mitaani hakika wako tayari kabisa kuianzisha fujo Kama utawala huu utachezea haki yao.
Msiwaone wako kimya.
I've very recently had a bad dream about a related/similar situation !!!!
 
Kwakuwa WATAWALA wetu wanapenda kutumia ubabe wa kidola na wanafanya hila nyingi kukaa madarakani na vyombo vya dola haviangalii haki na Sheria na bunge limewekwa mfukoni huku mahakama ikiwa Haina meno basi uchaguzi wa 2020 unaweza ukawa wa kumwaga damu hapa Tanzania.

Ni ukweli ulio wazi CCM haitakiwi kabisa Tanzania ndio maana wanawarubuni watanzania kila siku kwamba magu ni Mungu mtu ila wajiangalie mwaka huu watu hawatakubali ukikaa ukiwasikiliza vijana mitaani hakika wako tayari kabisa kuianzisha fujo Kama utawala huu utachezea haki yao.
Msiwaone wako kimya.
So ccm ikitoka unashauri apewe yupi kwa mfano?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iwapo wapinzani tutaendelea kuwa makondoo hamna chochote kitatokea, lakini tukiamua kuwa mwisho wa kubambikiwa viongozi wasio na ridhaa yetu hapo
tutaheshimiana.
Vita Takatifu inanukia
 
Kuna kiongozi atakatalia madarakani baada ya kushindia kwenye sanduku la kura,huyo ndo atakaye leta machafuko japo hayatakuwa makubwa sana.

Yalitabiriwa kabla ya kuja kwa wakoloni na mtu mmoja kule Majita-Musoma anaitwa Mjee.Fatilieni kile alicho kisema
 
Ni mwaka wa nyota ya moto... Lolote laweza kuwa
Kwakuwa WATAWALA wetu wanapenda kutumia ubabe wa kidola na wanafanya hila nyingi kukaa madarakani na vyombo vya dola haviangalii haki na Sheria na bunge limewekwa mfukoni huku mahakama ikiwa Haina meno basi uchaguzi wa 2020 unaweza ukawa wa kumwaga damu hapa Tanzania.

Ni ukweli ulio wazi CCM haitakiwi kabisa Tanzania ndio maana wanawarubuni watanzania kila siku kwamba magu ni Mungu mtu ila wajiangalie mwaka huu watu hawatakubali ukikaa ukiwasikiliza vijana mitaani hakika wako tayari kabisa kuianzisha fujo Kama utawala huu utachezea haki yao.
Msiwaone wako kimya.
mona-stuff-to-do-image.jpeg
11239434-3x2-700x467.jpeg

Jr[emoji769]
 
Kuna kiongozi atakatalia madarakani baada ya kushindia kwenye sanduku la kura,huyo ndo atakaye leta machafuko japo hayatakuwa makubwa sana.

Yalitabiriwa kabla ya kuja kwa wakoloni na mtu mmoja kule Majita-Musoma anaitwa Mjee.Fatilieni kile alicho kisema
Ongeza nyama ni mwaka mpya tule tushibe
 
Sio rahisi km unavofikili mkuu... By the way naomba Aman ktk uchaguz huo
Ombi langu akitoka magufuli madarakani waziri mkuu atuongoze Tena huyu nae anaweza kuleta mnyooko km jpm km unaumia umia tu wafanyabiashara wanatujali nyie pgeni porojo
hakika aliyeshiba hajui njaa inafananaje mana anacheua tu harufu ya nyama choma
 
Kwakuwa WATAWALA wetu wanapenda kutumia ubabe wa kidola na wanafanya hila nyingi kukaa madarakani na vyombo vya dola haviangalii haki na Sheria na bunge limewekwa mfukoni huku mahakama ikiwa Haina meno basi uchaguzi wa 2020 unaweza ukawa wa kumwaga damu hapa Tanzania.

Ni ukweli ulio wazi CCM haitakiwi kabisa Tanzania ndio maana wanawarubuni watanzania kila siku kwamba magu ni Mungu mtu ila wajiangalie mwaka huu watu hawatakubali ukikaa ukiwasikiliza vijana mitaani hakika wako tayari kabisa kuianzisha fujo Kama utawala huu utachezea haki yao.
Msiwaone wako kimya.
Endelea na porojo zako. Wenzio tunaendelea kupiga kazi na tunasubiri kwa hamu Oktoba tukampe kura za kutosha Rais wetu mpendwa Magufuli.
 
Back
Top Bottom