johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Kwahiyo CCM haikupata ushindi wa kishindo?!Chadema haijafeli mmelazimisha kuifelisha kwenye ule uchaguzi feki wa maigizo mliofanya mwaka huu, watu wazima mlifanya mambo ya kitoto ambayo hata watoto wenyewe wakiona watashangaa.
Hakika ile COVID 19 waliyokuwa wanaikimbia bungeni sasa yenyewe ndio imerudi bungeniKwaheri 2020 Karibu 2021.
Tutaikumbuka 2020 kwa ushindi wa kihistoria wa CCM ambao haujawahi kutokea tangu mfumo wa vyama vingi vya siasa uasisiwe.
Tutaikumbuka 2020 kwa kufeli kihistoria kwa Chadema kwa kupata mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa tangu mfumo wa vyama vingi vya siasa uasisiwe.
Tutaikumbuka 2020 kwa tukio la Chadema kujiweka lock down na baadae wale waliotoka lockdown wakaitwa Covid 19 baada ya kukubali kurejea bungeni na kuapishwa na Spika Ndugai katika viwanja vya bunge.
2020 Chadema ilifanya vituko vingi kuliko siasa.
Nawatakia nyote Heri ya Mwaka Mpya 2021!
Maendeleo hayana vyama!
Muogope mungu wako na umuheshimu na utubu kabla mwaka haujaisha mana huoni wala husikii yanayotokea nchi za wenzetu kuwa na imani hata kidogo tu mrudie muumba wako maana umekengeuka na hau appreciate utukufu na miujiza aliyolifanyia taifaKituko cha karne ni Tanzania kuimaliza Corona kwa maombi ya siku 3, huku tukishindwa kuomba kuumaliza ukimwi na Marelia.
Tunaomba 2021 Hollywood wafunguwe branch Tanzania kuna talent za hali ya juu, mtu anaigiza mkavu kabisa wala hacheki.
Hahahaaaa...... Duniani kuna mambo bwashee!Hakika ile COVID 19 waliyokuwa wanaikimbia bungeni sasa yenyewe ndio imerudi bungeni
Malipo ni hapahapa duniani
Kasema 2020 Halima Mdee ameibuka kuwa mkombozi wa wanawake Ufipa!Kwani Mzee Mgaya yeye kasemaje kuhusu huu mwaka tunaouaga 2020?
NI MWAKA WA KIHISTORIA KWA:Kwaheri 2020 Karibu 2021.
Tutaikumbuka 2020 kwa ushindi wa kihistoria wa CCM ambao haujawahi kutokea tangu mfumo wa vyama vingi vya siasa uasisiwe.
Tutaikumbuka 2020 kwa kufeli kihistoria kwa Chadema kwa kupata mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa tangu mfumo wa vyama vingi vya siasa uasisiwe.
Tutaikumbuka 2020 kwa tukio la Chadema kujiweka lock down na baadae wale waliotoka lockdown wakaitwa Covid 19 baada ya kukubali kurejea bungeni na kuapishwa na Spika Ndugai katika viwanja vya bunge.
2020 Chadema ilifanya vituko vingi kuliko siasa.
Nawatakia nyote Heri ya Mwaka Mpya 2021!
Maendeleo hayana vyama!
hUO NI USHINDI WA "LUSHINDO" NA SI KISHINDO!Tunakumbuka ushindi mkubwa wa kishindo ambao hata walioshinda waliogopa kushangilia na kupongezana, wakaishia kufunga mitandao ya simu.
Nakumbuka kituko cha yule jamaa alieamua kurusha chopa toka KIA to dar bila kibali akisema haogopi chochote na anaetaka kufanya lolote afanye,Nakumbuka kituko cha mponya corona na kiki za vitambuoosho vya wamachinga. Alilazimika kuvikana wakati wa kampeni kwamba "haikuwa lazima". Alipobanwa na mwanasheria nguli kwamba arudishe hela, akapinduka tena.
Mponya corona anayependwa na watanzania akapiga mahoti kubekbeleza kura