Mwaka 2020 tutaukumbuka kwa vituko vya CHADEMA kuanzia Lockdown hadi wabunge 19 wa viti maalumu!

Mwaka 2020 tutaukumbuka kwa vituko vya CHADEMA kuanzia Lockdown hadi wabunge 19 wa viti maalumu!

Pia tutakumbuka kwa Mmililiki wa Timu fulani kutafuta waamuzi na uwanja wa kuchezesha mechi ambayo timu yake na ikajipatia ushindi haramu wa magoli mengi yasiyokua na mvuto mwishowe hata timu yake ikashindwa kufurahia kutokana na ushindi haramu na usio na mvuto

Pia tutaukumbuka kwa nchi hii kuzalisha mkimbizi mmoja wa kisiasa toka jimbo la Arusha mjini. Lakini ukweli ni kwamba kakimbia u-jobless maana hakuwa na kazi ya kufanya na pesa yote imeliwa kwenye kampeni.

Pia tutamkumbuka LodiLofa fulani aliyekuwa anatukana miundo mbinu ya nchi lakini wakimbania kuitumia anaanza kulialia. Tarehe 28 Oktoba alipokea kichapo cha mbwa koko hatakaa arudie tena siasa za kisengerema alizotumwa na mabasha wake akina Babu Msatadamu
 
Aisee kwangu Mimi Drama ya mwaka ni ile move ya Lisu kukimbilia Ubalozi wa Ujerumani,

Jamaa wakati wa kampeni alikuwa anapiga mkwara wa hatari mpaka ikafikia hatua akafunga barabara,

Ila ghafla tu baada ya matokeo kutangazwa akatangaza kuwa ametishiwa, akakimbilia ubalozini,

Aisee nilichoka,

Wanasiasa si wa kuwaamini kabisa.

Mbowe nae akatuambia atakuwa Waziri Mkuu within 72 Hrs, akatuaga kabisa. Daah.
Yaani haya majamaa nilikuwa nikiyasikiliza kwenye kampeni mikutano yao hasa yule alokimbilia ubalozini na wanaowadhabikia nilikuwa nacheka mwenyewe.🤣🤣

Kuna vilaza nchi hii waliamini LodoLofa atakuwa kiongozi mkuu wa nchi wakati chama chake walikuwa wanaandama na kushabikia mitandaoni.

Siku ya kupiga kura wengi waliojitokeza ni kuanzia miaka 30 hadi 90 huko. Wa mitandaoni hakuna walibaki kuganga njaa mtaani
 
Nakumbuka kituko cha yule jamaa alieamua kurusha chopa toka KIA to dar bila kibali akisema haogopi chochote na anaetaka kufanya lolote afanye,
Lakini baada ya uchaguzi alipopigwa chini akakimbilia kwa Amsterdam eti anaogopa kitisho cha kwenye simu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Just imagine kitisho cha kwenye simu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

🤣🤣🤣🤣😂😄😤

Yaani hawa jamaa wanacheza na akili za watu wao.

Kawadanganya Tanganyika Packers Dar kuwa karuka bila kibali haogopi, wakati kibali mwenye helkopta alikuwa nacho hakuna mmiliki mjinga wa helkopta aweza kuhatarisha chombo chake kuruka bila kibali.

Alikuwa anacheza na akili za wafuasi wake ili kuwajengea ujasiri kuwa haogopi. 😄😂😂🤣sasa kaja kuwaondolea ujasiri wote kabisa baada ya kukimbilia ubalozini akiogopa vitisho vya kwenye simu😂😂😂

Kumbe jamaa alikuwa anakimbia kesi zake maana alijua wadhamini wake wanamkamata na kwenda kuikabidhi mahakama na wao kujitoa. Kasepa kwa Babu Msatadamu
 
Back
Top Bottom