Mwaka 2021, 70% walioambukizwa VVU Tanzania ni Wasichana

Mwaka 2021, 70% walioambukizwa VVU Tanzania ni Wasichana

ukimwi kuisha kabisa ni kazi ndogo ila pia ni ngumu sana maana ny…ge ni mbaya sana unaweza ukaja kuwaza ukimwi baada ya tendo
Pale kati bwana patamu tuache masikhara, shetani mjanja sana
 
Eti kupima 10,000 ama 6,000 ukweli hali mbaya hasa sehemu kama Tandale kuna hospital moja nilienda kupima niliyoyakuta nikaogopa watu ni wagonjwa sana. Elimu ya kuhusu Ukimwi irudi upya.
Uliendapata huduma au kutoa huduma?
Eti kupima 10,000 ama 6,000 ukweli hali mbaya hasa sehemu kama Tandale kuna hospital moja nilienda kupima niliyoyakuta nikaogopa watu ni wagonjwa sana. Elimu ya kuhusu U
 
Inasikitisha sana aisee.

Chanzo cha yote ni sisi wazazi kuona mtoto ukimpa elimu ya namna ya kujilinda asipate mimba inatosha pekee huku tukisahau kuna maradhi kibao ambayo anaweza kuyapata.
 
Night clubs,birthday parts,hafla mbalimbali sehemu za kazi,haki sawa kwa wanawake,ongezeko la magari makubwa,ongezeko la loji,uhuru wa watoto,movies n.k.
Vinachangia sana.
 
Wasichana wengi kwenye mambo ya HIV hawako makini kabisa yani, ukikuta msichana anataka kutumia condom basi kwenye 100 ni mmoja au wawili., Juhudi zaidi zinahitajika, hali ni mbaya.
Hata mi mama mijitu mizima Katika mimama 1,000 itakuwepo miwili tu inayotumia condom,mingine iliyobaki inategemea maamuzi ya mwanaume
 
Binadam anajifunza kwa kuona. saivi hakuna madhara ya UKIMWI yanayoonekana na bado kuna usiri mkubwa sana. serekali ni km imekaa pembeni kwene kuelimisha watu. Ugonjwa hauwezi kuisha huu.
 
Chanzo cha dada zetu kutaka mambo makubwa mwisho wanaangukia kwa wazee kipindi cha miaka mitano iliyopita tumeshuhudia wazee waliojichokea ata dawa zimedunda wakioa wasichana wadogo
 
Kwenye mizagamuo mwanamke anamsikiliza mwanaume kwa kila kitu.

Kuanzia mahali pa kufanyia, jinsi ya kufanya na hata baada ya kufanya kipi kifuate ni mwanaumd anaratibu.

Mwanamke hana maamuzi juu ya kutumia/kutotumia kinga.

Wabadilike kwenye hilo.
 
Vitoto vinatombwa na boda boda, wajomba, etc
 
Eti kupima 10,000 ama 6,000 ukweli hali mbaya hasa sehemu kama Tandale kuna hospital moja nilienda kupima niliyoyakuta nikaogopa watu ni wagonjwa sana. Elimu ya kuhusu Ukimwi irudi upya.
Kupima HIV ni bure
 
Wasichana wengi kwenye mambo ya HIV hawako makini kabisa yani, ukikuta msichana anataka kutumia condom basi kwenye 100 ni mmoja au wawili., Juhudi zaidi zinahitajika, hali ni mbaya.
Condom Wengi hutegemea maamuz ya mwanaume, akikataa ndo imetoka hiyo
 
Upimaji uwe rahisi kama upatikanaji condom ulivyo rahisi.
Kondom bado ni changamoto, zinapatikana tu mjini.
Ukifika vijijinj Hakuna kabisa, na watu wa bush hawana muamko na mambo ya kondom
 
Nani kakuambia? Labda hospital za serikali nenda pharmacy wanauza zile kit mpaka uwa najiuliza toka lini zimekuwa biashara.
Ndio maana ikaitwa hospital ya binafsi, that is private good and the other one is public good
 
Back
Top Bottom