Mtoa Taarifa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2024
- 213
- 671
Ripoti ya Taasisi ya Mo Ibrahim Foundation (MIF) imeonesha kwa kipindi cha mwaka 2022, nchi 10 tu za Afrika zilipokea karibu nusu ya Misaada yote ya Kimaendeleo kutoka kwa Wafadhili wa Nje iliyokadiriwa kufikia zaidi ya Tsh. Trilioni 103.34.
Aidha, kwa mujibu wa takwimu za Shirika la Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo (OECD) misaada hiyo ilitoka zaidi kupitia Kamati ya Usimamizi wa Maendeleo (DAC) yenye nchi 24 ambazo ni Australia, Austria, Belgium, Canada, Denmark, Umoja wa Ulaya, Finland, France, Germany, Ugiriki, Ireland, Italy, Japan, South Korea, Luxembourg, Netherlands, New Zealand, Norway, Portugal, Spain, Sweden, Switzerland, United Kingdom na Marekani.
In 2022:
• Egypt received the largest amount of ODA of any African country, totalling
$7.7 billion – 70.2% of that coming from non-DAC countries.
• Ethiopia received the second largest amount of ODA in Africa, totalling
$5.3 billion – more than half of it coming from DAC countries.
• Nigeria received the third largest amount of ODA of any African country totalling $5.0 billion – 69.9% of it coming from multilaterals.
10 African countries, hosting over 70% of the continent’s population, received nearly half (46.4%) of total ODA to the continent in 202. Global net financial transfers to developing countries (including new lending and ODA) will fall by over $100 billion in the next two years.
Chanzo: OECD, MIF, UNDESA (2022)