Mwaka 2023 na vituko vyake

Mwaka 2023 na vituko vyake

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

siku hyo tuko lecture room, lecturer anafundisha, sasa mie ghafla wimbo wa Davido "skelewu" ukanijia kichwani,

Nikaanza kukata viuno, sasa jiran yangu akawa ananiona si akacheka kwa nguvu, watu wote jicho kwake, lecturer anauliza shida nn watu kmya.

Baada ya lecturer kutoka, ndo anaulizwa wee unacheka vile vipi, ana waeleza ilivyokua, watu walicheka balaa.

Kila nikikumbuka mbavu cna, woiiiih.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kituko changu ni..

Simba kuamini mvua inawapa ushindi [emoji1787][emoji1787]
IMG-20231114-WA0005.jpg
 
Back
Top Bottom