Mwaka 2023 nitafia shambani, eeh Mungu nisaidie!

Naamini hujafa. Mwaka 2024 uishi shambani✅
 
Structure ya kilimo bongo ina favor kwa wenye access na masoko ya nje ambao wengi ni hao mawaziri na wakubwa wengine na wastaafu. Unakuta yeye ana ka channel ka kupeleka mazao yake na anayalima kwa standards za kimataifa sababu hela anazo.

Nyie mnaolima subsistence farming ili surplus ndio muuze ndio mnakumbana na akina dalali Juma wanawapangia bei ambazo wao wakipeleka mjini watazi double na ndio wanaokula kilaini sana. We umeteseka mwaka mzima kulima wao wakija wanakupa 20% tu ya returns on investment na kwakuwa unataka hela utauza tu hata kishingo upande. Wakifika mjini wao wanakula ndefu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…