Mwaka 2023, wakenya milioni 12 walisafiri kwa ndege ilhali watanzania milioni 3.8. Je, sisi watanzania shida ni umaskini au tunaogopa kusafiri?

Mmojwapo aliyekuwa kwenye timu ya ile ndoto ya maisha bora kwa kila Mtanzania na mwanahisa wa fastjest Lau Masha ameonekana hivi karibuni huko Buza akiombewa na nabii kiboko ya wachawi! Kalaghabo.
Kutoka Fastjet own hadi kuwa Follower wa Evil sprits.

Lakini wakati ule watu humu walilete uzi kuwa anatumia ofisi vibaya.
 
Watanzania wote ni waha. maana ya waha ni WA HAPA. watoke waende wapi?
 
Wakiambiwa hivyo wanang'aka na kufoka kwamba watu wajishughulishe kwenye kilimo kinalipa.Wanapenda uongozi ila hawajui watawavushaje watu masikini kuelekea uafadhali.
Ukiona Nchi ambayo wananchi wake wanaweza kuungana na kukataa Ufisadi wa viongozi wao basi Nchi hiyo imepiga maendeleo kifikra, kiuchumi na kijamii.

Bado tutaendelea kushuhudia Kenya ikitamba Afrika baada ya Reform inayoendelea kwa sasa.
 
Ukiona Nchi ambayo wananchi wake wanaweza kuungana na kukataa Ufisadi wa viongozi wao basi Nchi hiyo imepiga maendeleo kifikra, kiuchumi na kijamii.

Bado tutaendelea kushuhudia Kenya ikitamba Afrika baada ya Reform inayoendelea kwa sasa.
Ukiitaja Kenya na maandamano yao kwa Tanzania viongozi wanatetemeka sana.Wanajua zamu yao ipo siku itawadia tu.
 
Tatizo ni nchi kuwa na machawa wengi kama wewe muanzisha thread eti mama ameifungua nchi .
Takwimu hizo mnazitoa wenyewe zinawaumbua
Hii nchi wajinga wajinga kama wewe muanzisha mada ni wengi sana mmekaa kutegemea kulamba miguu ya wanasiasa ili mpate ugali kwa uchawa hamna akili za kufikiria kusafiri kwenda nje ya nchi .
Mkisafiri sanasana ni kupakiwa kwenye malori kuhudhuria vikao vya akina wagombea yaani mtu design yenu yupo tayari kutosafiri nje ya nchi kutafuta fursa ili abaki Tanzania ili ampigie kura mwanasiasa
 
Hivi foreigners hawasafiri ndani ya nchi? Hiyo domestic ya Kenya ni Wakenya tu?!
 
Jikite kwenye hoja wewe nyumbu
 

Tatizo kubwa ni huu uvamizi uliopewa jina la muungano kama haujavunjika hakuna kitachopatikana zaidi ya umasikini kwani hili ndilo chaka lao walaji la kujipatia kula na kuifisidi nchi
 
Aisee, umetoa mfano mmoja mzuri sana kule bamutu ba congolee wanapanda ndege sanaaa lakini sababu kubwa ni hali ya kiusalama na miundo mbinu mibovu ya bara bara.
 
Kuna imani tumejiwekea kwamba ndege wanapanda wenye nazo haswa..!!! Mtu analinganisha Tshs. laki tano na ushee ya return ticket Dar Mwanza Dar,na kupata basi. Hatunaga utaratibu wa kugeuza shida za kupanda basi kuwa pesa ili tulinganishe na nauli ya ndege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…