Mwaka 2023, wakenya milioni 12 walisafiri kwa ndege ilhali watanzania milioni 3.8. Je, sisi watanzania shida ni umaskini au tunaogopa kusafiri?

Unajua kuna mbinu nyingi huwa watawala hutumia kuongoza taifa na hii ikiwa ni mbinu namba moja. Swala la passport ni kuzungumkuti bongo kupata kama hutotoa rusha..


Jiulize watanzania milioni 10 tukaenda nje alafu tukapate expore huko na kirudi huku, unadhani ujinga ujinga mdogo utakuwepo bongo... Ili serikali iweze kuongoza inahitaji watu wasiokuwa na exposure
 
Nchi za kijamaa hizi sijui shida ni nini ,hovyo kabisa.
 
Wakenya wapo exposed na dunia kuliko Wadanganyika
 
Ukienda kukata passport tu vikwazo
Wanauliza eti naenda nchi gani na kufanya nini!!
Jamaniii passport haki ya raia ila mbwembwe nyingiii

Kuhusu kusafiri ndani ya nchi watanzaniasio shida zetu kupanda ndege
 
Nchi za kijamaa hizi sijui shida ni nini ,hovyo kabisa.
Jiulize kwanini hizi nchi za zetu huduma ya internet inakuwa ngumu kwa wananchi wakati huko kwa wengine ni huduma ya unafuu. Hizi ni mbinu za kutawala huwezi kuwa na internet ya bei rahisi alafu ukanunu treni second hand huko ulaya ukapiga rangi ulete bongo, wananchi wata good specifications na wataihoji serikali kwanini unanunua scrape then una build kuwa mpya na kuwaaminisha watu ni mpya
 
Na waliowarudisha na Immigration air port wangapi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…