Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
πππKumjua mtanzania wala huhitaji kuangalia NIDA yake! Sema nn mwenetu mm naweza kutoboa kimaisha hata Leo mchana tatizo ni DINI & SERIKALIhahaha ukajiona umetoboa tayari tena nakumbuka ukaanza kutuvimbia kitaa. KIKO WAPI SASA
Muda utafika tuKikubwa pumzi!
Naona kwangu mda wa kuketi na wakuu Badoπ’
Kwa saivi niendelee kuheshimu avatar yako ili niwaleteee shuhuda MMUMuda utafika tu
Kila herufi katika jina la mtu inaweza kuhusishwa na nambari katika numerolojia. Kisha nambari hizi zinaweza kufanyiwa uchambuzi ili kupata maana au mwelekeo fulani kuhusu mtu husika kulingana na imani za numerolojia. Kwa hiyo, jina la mtu linaweza kuwa na uhusiano na numerolojia kulingana na nambari zinazotokana na herufi zilizomo katika jina hilo.Unawazungumziaje wale mademu wenye figa namba 8 huo ndo utakuwa mwka wao sasa
Yaan bongo kikubwa uzima πNishazoea hizi mambo hua ni kudanganyana tu, kipindi flan nlimsikiliza Dr Eliud Nasseco(Sina hakika kama jina la pili lipo sahihi) alifafanua mwaka huu utakua hv na hv sijui numerology namba hii ina maana hii...... Nikaona ule mwaka wa kukaaa meza moja na Bakhresa ndo huu sasa nikazama stationary nikanunua notebook nikaorodhesha tuvitu vitu .......ngoja ncheke kwanza tarudi
Chukua 1+3=4Nikijumlisha tar ya kuzaliwa napata 13 apo ndo inakuwaje mkuu Victor Mlaki
Kama ni jina la mtu (T + A + N + E + S + C + O)(2 + 1 + 5 + 5 + 1 + 3 + 6)= 23,Labda na jina la Tanesco mtalibadili maana sio kwa nuksi hizo
We jamaa mbona kama unanijua, hebu tema nondo zaidi. Na vipi kwa upande hasi?Chukua 1+3=4
Namba nne katika numerolojia mara nyingi inahusishwa na sifa za utulivu, ufanisi, nidhamu, na utaratibu. Watu wenye namba hii wanaweza kuwa waaminifu, wakijituma katika kazi zao, na kuwa na uwezo mzuri wa kufanya maamuzi ya busara. Hata hivyo, mara nyingine wanaweza kuonekana kuwa wagumu au wenye kusita kubadilika.
Kwa hiyo tuendelee nao tuKama ni jina la mtu (T + A + N + E + S + C + O)(2 + 1 + 5 + 5 + 1 + 3 + 6)= 23,
Kisha namba 23 inachambuliwa zaidi: 2 + 3 = 5
Hivyo, kwa mbinu ya kinumerolojia, jina "Tanesco" inaweza kuwa na namba 5. Namba hii ya kinumerolojia inaweza kuashiria sifa za ubunifu, uhuru, na mabadiliko katika maisha.
Tanzania hamna mda wa kupumzika ni fix mda woteYaan bongo kikubwa uzima π
Namba 4 katika kinumerolojia inaweza kuwa na udhaifu wa kuwa mgumu au wa kusita kubadilika. Watu walio na mwelekeo wa namba 4 wanaweza kuwa na upendeleo wa kushikilia mambo yaliyojulikana, na mara nyingine wanaweza kuwa wagumu katika kubadilika au kujaribu vitu vipya. Pia, wanaweza kuwa na uwezo mdogo wa kusamehe au kubadilisha mtazamo wakati mambo yanapokwenda kinyume na matarajio yao. Hata hivyo, kama ilivyo kwa sifa zote, hizi ni tabia ambazo mtu anaweza kuzitambua na kuzifanyia kazi ili kuboresha uwezo wao wa kufanya maamuzi na kusonga mbele.We jamaa mbona kama unanijua, hebu tema nondo zaidi. Na vipi kwa upande hasi?
π ππ€£ππππNdiyo TunapigwaTanzania hamna mda wa kupumzika ni fix mda wote