Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Fanya kazi kwa bidiiEe Mungu nisimamie malengo yangu ya 2024.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya kazi kwa bidiiEe Mungu nisimamie malengo yangu ya 2024.
HahahahaMi nasubiri unioe hapa,afu wewe unasemaje?
Na wenye master namba km 11Hapo utatakiwa kujumlisha tena yaani (1+0=1)
Lengo ni kupata single digit isipokuwa master numbers (11, 22 na 33)
Namba moja katika numerolojia inawakilisha uhuru, uongozi, na mwanzo mpya. Mara nyingi inaashiria hamu ya kufanikiwa, ubunifu, na kuchukua hatua za kwanza. Pia inahusishwa na ujasiri, kutambulika, na kuwa kiongozi katika mambo mbalimbali.
Mtu mwenye namba Moja kinumerolojia mara nyingi huchukuliwa kuwa na sifa za uongozi, ubunifu, na utashi mkubwa. Wanaweza kuwa na uwezo wa kuwa waanzilishi, kufuata malengo yao, na kuwa na nguvu ya kibinafsi. Kawaida hufurahia kujitawala na kuwa na mtazamo mzuri wa kujiamini.
Udhaifu wa mtu mwenye namba Moja kinumerolojia unaweza kujumuisha upande wa kiburi au ukaidi, kwa sababu ya ujasiri wao na utashi mkubwa. Wanaweza kuwa wagumu kubadilika au kufanya kazi kwa ushirikiano na wengine kwa sababu ya hamu yao ya kujiamini. Pia, wanaweza kuwa na changamoto katika kushughulikia kushindwa au vikwazo kwa sababu ya hamu yao ya kufanikiwa sana.
Namba 2 na namba 8 👍Namba nane kwenye unajimu inawakilisha utajiri, mafanikio, na nguvu. Unaweza kujaribu mambo kadhaa kama vile:
Kwa jumla, namba nane inawakilisha mafanikio ya kifedha na mbinu kadhaa zinazohusiana na kuboresha hali yako ya kifedha zinaweza kuwa na manufaa.
- Kutafakari na kuweka malengo: Fikiria kuhusu malengo yako ya kifedha na maisha kisha andika mikakati ya kuyafikia.
- Kuwekeza: Jaribu kuelekeza rasilimali zako kwenye uwekezaji unaofaa.
- Kusimamia pesa zako: Fanya bajeti, epuka matumizi ya ziada, na jifunze kuhusu uwekezaji na kuongeza thamani ya pesa zako.
- Kufanya kazi kwa bidii: Kujituma kwenye kazi zako kunaweza kuzaa matunda mazuri ya kifedha na kibinafsi.
- Kuweka akiba: Weka akiba kwa ajili ya siku zijazo ili kujenga ustawi wa kifedha.
😂😂sijamwelewa kabisa....tumeweka malengo nashangaa tena kanisahau kabisa amenigeuza mwanaume mwenzie eti "tunza kibunda usioe😳🙌Hahahaha
Wkt wewe unataka ndoa😂😂sijamwelewa kabisa....tumeweka malengo nashangaa tena kanisahau kabisa amenigeuza mwanaume mwenzie eti "tunza kibunda usioe😳🙌
Namba 11 katika numerolojia inachukuliwa kuwa namba ya nguvu ya kiroho na ubunifu. Mara nyingi huchukuliwa kama nambari ya mtu mwenye kipaji, mwenye hisia za kina na mtazamo wa kiroho.Na wenye master namba km 11
Ok nimekupata , sasa kuna ile birthday = siku ya kuzaliwa , kuna birthdate = tarehe ya kuzaliwa ..huwa ipi hapa muhimuNamba 11 katika numerolojia inachukuliwa kuwa namba ya nguvu ya kiroho na ubunifu. Mara nyingi huchukuliwa kama nambari ya mtu mwenye kipaji, mwenye hisia za kina na mtazamo wa kiroho.
Katika numerolojia, kawaida ni tarehe ya kuzaliwa "birthdate" ndiyo inayopewa umuhimu mkubwa zaidi. Tarehe ya kuzaliwa inachukuliwa kuwa na nguvu ya kipekee katika kufafanua sifa za mtu, vipaji vyao, na hata mwelekeo wao wa maisha. Hata hivyo, wakati mwingine siku ya kuzaliwa pia inaweza kuchukuliwa katika muktadha fulani wa hesabu ya numerolojia kwa kufanya uchambuzi zaidi wa kina wa mtu binafsi.Ok nimekupata , sasa kuna ile birthday = siku ya kuzaliwa , kuna birthdate = tarehe ya kuzaliwa ..huwa ipi hapa muhimu
Pili kuna kitu nilisoma ili upate namba yako kamili inabidi uangalie vyote
Huwa naona vinachanganya tu
Sawa huwa nasomaga kitu cha secret science of numelogy ,naona kuna vitu vingi sana ktk hayo mamboKatika numerolojia, kawaida ni tarehe ya kuzaliwa "birthdate" ndiyo inayopewa umuhimu mkubwa zaidi. Tarehe ya kuzaliwa inachukuliwa kuwa na nguvu ya kipekee katika kufafanua sifa za mtu, vipaji vyao, na hata mwelekeo wao wa maisha. Hata hivyo, wakati mwingine siku ya kuzaliwa pia inaweza kuchukuliwa katika muktadha fulani wa hesabu ya numerolojia kwa kufanya uchambuzi zaidi wa kina wa mtu binafsi.
Haswaa!Sawa huwa nasomaga kitu cha secret science of numelogy ,naona kuna vitu vingi sana ktk hayo mambo
Sasa 2024 ni kweli unaeza kuwa hivyo huo mwaka ila kuna vitu vyakuangalia zaidi
Sasa inabidi mtu ajue yote haya?Ikumbukwe kuna njia ya Pythagorean na pia ile ya Wakakdayo "Caldrean" Niliyoifafanua sana hapa ni Pythagorean.
Mkuu mm si muandishi mzuriHaswaa!
Kuna intervening variables nyingi.. Vizuri type na sisi marifa juu ya secret science of numerology Mkuu
Mano mtu aliyezaliwa tarehe 25/12/1985Sasa inabidi mtu ajue yote haya?
1.namba yake ya tarehe ya kuzaliwa
2. Namba yake ya jumla hapa anajumlisha tarehe + mwezi + mwaka = jibu
Hivyohivyo tutajitahidi kujifunza MkubwaMkuu mm si muandishi mzuri
Swadakta,uko vzr Mkuu na hizo namba singo namba zina tabia zake mtu inabidi azijue ..Mano mtu aliyezaliwa tarehe 25/12/1985
Siku=2+5=7
Mwezi=1+2=3
Mwaka=1+9+8+5=23
Hapo Kila fungu linajitegemea
Kisha chukua fungu la siku+fungu la mwezi+fungu la mwaka yaani 7+3+23=33
Hahahaha,sawa sawaHivyohivyo tutajitahidi kujifunza Mkubwa