Tarehe 2/5/2000 inaweza kuhesabiwa kinumerolojia kwa kuongeza namba zote pamoja: 2 + 5 + 2 + 0 + 0 + 0 = 9. Kulingana na numerolojia, namba 9 inaunganishwa na sifa kama ubunifu, uelewa, huruma, na urafiki. Wale walio na namba hii wanaweza kuwa na uwezo wa kusaidia wengine na kuleta mabadiliko katika jamii yao.
Siyo 7
Kuna kitu kunaitwa personal Year mkuu Unakifahamu..
Kwa mfano Huyo mtu Aliyezaliwa 02/05/2000..
Kwakuwa Tunafahamu Universal Year number ni 8 (2024)..
means the resonance energy ya Mwaka mzima kwa kila mtu inatakiwa kuwa (achievements, success, and material abundance, na pia ni mwaka wa financial or career growth.)
Lakini mtu akikupa Specific Year we have to Tag him in Specific aspects of life on that years for better resonance..
Ndo hyo inaitwa Personal Year Number....
SO ili person aweze kuarchieve Resonance Energy ya 8 (2024) anatakiwa kufollow resonance Energy from his/Her Personal year number for achievemnt..
Personal year number =DD+ MM + Mwaka uliokusudiwa..
Kwa huyo..
2 +5 +2+0+2+4= 15 =6
Sasa Huyu Mtu mwenye Resonance ya Person year namba 6 anawezaje kujiadjust kwenye mwaka wenye Resonance ya 8 yaani 2024..
Kwanza anatakiwa kuweka mizania yaani Balance between Proffesional life na Home life (Personal life) akichanganya tu hapa kimoja kikamzidi mwingine huu mwaka atauona Mchungu..
Najua kwamba Namba 8 inahusika sana na kufanya kazi ili kupata mafanikio ila kwa Energy namba sita Hatakiwi kuneglet Personal life..
Cha pili anaonekana hana connection/Relation nzuri na Familia ,Mpenzi au Marafiki pia anatakiwa atengeneze connection nzuri kwa mwka huu..
Ajitahidi kuhudhuria mambo ya kifamilia sana, Au ya kisocial misiba,Harusi furaha na tabu za watu wake wa. Karibu..
Cha tatu Ajijengee katika Financial Discipline sio mzuri sana kwenye kutunza na mzee wa kutawanya huyu anatakiwa kwa mwaka huo ajitahisi awe na financial discipline..
akifanya hivyo opportunity nyingi zitakuja kupitia Family na marafiki na atatusua