Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
- Thread starter
- #161
Nije PM au?2024, Hata Mamndenyi anawaza kuanza biashara nyingine, njoo nikunong'oneze, miaka ni matarakimu tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nije PM au?2024, Hata Mamndenyi anawaza kuanza biashara nyingine, njoo nikunong'oneze, miaka ni matarakimu tu.
Nipo PM nishakuja nakusubiri Mamndee2024, Hata Mamndenyi anawaza kuanza biashara nyingine, njoo nikunong'oneze, miaka ni matarakimu tu.
Hii mwanzon nliandika tar, mwezi na mwaka halisi baadae nkaedit sijui Ilikuaje hyo saba nikaisahauHiyo 7 , umeipataje Mkuu
Yaani ujumlishe 2+5+2+0+0+0 = upate 7 ?
Worry notHii mwanzon nliandika tar, mwezi na mwaka halisi baadae nkaedit sijui Ilikuaje hyo saba nikaisahau
😂😂😂😂Never,Aiseeee😂 unajifanya ni mfano kumbe ndo wewe!
Lakini kama kuna vita itaanza mwakani ndo haitakomaNamba nane ni endless.
Vita vinavyoendelea havitakoma hadi theluthi ya dunia iangamie.
Kitasa kimemiminwa
Kuna kitu kunaitwa personal Year mkuu Unakifahamu..Tarehe 2/5/2000 inaweza kuhesabiwa kinumerolojia kwa kuongeza namba zote pamoja: 2 + 5 + 2 + 0 + 0 + 0 = 9. Kulingana na numerolojia, namba 9 inaunganishwa na sifa kama ubunifu, uelewa, huruma, na urafiki. Wale walio na namba hii wanaweza kuwa na uwezo wa kusaidia wengine na kuleta mabadiliko katika jamii yao.
Siyo 7
Sifahamu sana ila Kwa kiasi kidogo ninachofahamu katika numerolojia "Personal year" hutegemea tarehe yako ya kuzaliwa, mwezi na mwaka wa sasa au sivyo Dr.Kuna kitu kunaitwa personal Year mkuu Unakifahamu..
100%Kwa mfano, kwa mwaka 2023 na tarehe ya kuzaliwa 25/12/1985, tunaanza kwa kutumia hesabu rahisi:
25 (siku yako ya kuzaliwa) + 12 (mwezi wako wa kuzaliwa) + 2023 (mwaka wa sasa).
Kisha, fanya uchanganuzi zaidi kwa kuongeza tarakimu zote za matokeo mpaka upate tarakimu moja au tarakimu muhimu zaidi.
Kwa mfano, 2 + 5 = 7,
1 + 2 = 3,
na 2 + 0 + 2 + 3 = 7.
Kisha, 7 + 3 + 7 = 17.
Hatimaye, 1 + 7 = 8.
Hivyo, mwaka binafsi wako kwa mwaka 2023 unaweza kuwa unashabihiana na tarakimu 8. Hii inaweza kumaanisha mambo tofauti kulingana na mifumo na tafsiri mbalimbali za numerolojia.
Angalia post #168Sifahamu sana ila Kwa kiasi kidogo ninachofahamu katika numerolojia "Personal year" hutegemea tarehe yako ya kuzaliwa, mwezi na mwaka wa sasa au sivyo Dr.
Dr. Umenifungua akili zaidi juu ya hii kitu nilikuwa kama naipuuzia hivi ila nimejiangalia kupitia maarifa uliyotupa nikajiona namna ambayo ningeweza kupoteza kama nisingezingatia "resonance" ya mwaka.Angalia post #168
Ni muhimu Kuangalia How your Personal Year number Resonant with the Universal One Energetically...Dr. Umenifungua akili zaidi juu ya hii kitu nilikuwa kama naipuuzia hivi ila nimejiangalia kupitia maarifa uliyotupa nikajiona namna ambayo ningeweza kupoteza kama nisingezingatia "resonance" ya mwaka.
Ni mwendo wa kuendeleza kusoma kwa kinaNi muhimu Kuangalia How your Personal Year number Resonant with the Universal One Energetically...
Ndo maana Kuna watu wanakuambia "Watu wanasema mwaka fulani ulikuwa mzuri mbona mimi kwangu ulikuwa mbaya na nilifata vilivyoagizwa"..
Ni kwa sababu alilzimisha Kuresonate na Energy au frequency ambayo hakuwa nayo so unashangaa anasubiri Treni Airport..
Hicho ni cha msingi japo viko vingi vya kuangalia kama compatibility (Cheiro compatibiliy na Chaldean compatibility)
Soma vile vitabu vizuri kabisa taratibu..Ni mwendo wa kuendeleza kusoma kwa kina
Asante Dr
33 si wanasema ni 3+3 ambayo ni sawa na 6Kuna njia mbalimbali za kujua namba yako kinajimu. Unaweza kutumia tarehe yako ya kuzaliwa kufanya hesabu ya namba yako ya kuzaliwa. Kisha unaweza kuchambua namba hiyo kulingana na kanuni za numerolojia. Kwa mfano, kwa kuchanganya na kufanya hesabu ya namba zinazounda tarehe yako ya kuzaliwa, unaweza kupata namba yako kinajimu.
Mfano mtu aliyezaliwa 25/12/1985
2+5+1+2+1+9+8+5=33