Mwaka 2024 katika unajimu

Mwaka 2024 katika unajimu

Tarehe 2/5/2000 inaweza kuhesabiwa kinumerolojia kwa kuongeza namba zote pamoja: 2 + 5 + 2 + 0 + 0 + 0 = 9. Kulingana na numerolojia, namba 9 inaunganishwa na sifa kama ubunifu, uelewa, huruma, na urafiki. Wale walio na namba hii wanaweza kuwa na uwezo wa kusaidia wengine na kuleta mabadiliko katika jamii yao.
Siyo 7
Kuna kitu kunaitwa personal Year mkuu Unakifahamu..
Kwa mfano Huyo mtu Aliyezaliwa 02/05/2000..

Kwakuwa Tunafahamu Universal Year number ni 8 (2024)..

means the resonance energy ya Mwaka mzima kwa kila mtu inatakiwa kuwa (achievements, success, and material abundance, na pia ni mwaka wa financial or career growth.)

Lakini mtu akikupa Specific Year we have to Tag him in Specific aspects of life on that years for better resonance..
Ndo hyo inaitwa Personal Year Number....

SO ili person aweze kuarchieve Resonance Energy ya 8 (2024) anatakiwa kufollow resonance Energy from his/Her Personal year number for achievemnt..

Personal year number =DD+ MM + Mwaka uliokusudiwa..

Kwa huyo..
2 +5 +2+0+2+4= 15 =6

Sasa Huyu Mtu mwenye Resonance ya Person year namba 6 anawezaje kujiadjust kwenye mwaka wenye Resonance ya 8 yaani 2024..

Kwanza anatakiwa kuweka mizania yaani Balance between Proffesional life na Home life (Personal life) akichanganya tu hapa kimoja kikamzidi mwingine huu mwaka atauona Mchungu..

Najua kwamba Namba 8 inahusika sana na kufanya kazi ili kupata mafanikio ila kwa Energy namba sita Hatakiwi kuneglet Personal life..

Cha pili anaonekana hana connection/Relation nzuri na Familia ,Mpenzi au Marafiki pia anatakiwa atengeneze connection nzuri kwa mwka huu..
Ajitahidi kuhudhuria mambo ya kifamilia sana, Au ya kisocial misiba,Harusi furaha na tabu za watu wake wa. Karibu..

Cha tatu Ajijengee katika Financial Discipline sio mzuri sana kwenye kutunza na mzee wa kutawanya huyu anatakiwa kwa mwaka huo ajitahisi awe na financial discipline..

akifanya hivyo opportunity nyingi zitakuja kupitia Family na marafiki na atatusua
 
1 1 1 5 1 9 9 5=32-3+2=5 wa namba tano mwaka wetu umepita kama hatukufanikiwakwenye mzunguko wa namba hiyo hatuwez fanikiwa mpaka tunakufaaa inaumiza kweri kwel
 
Kwa mfano, kwa mwaka 2023 na tarehe ya kuzaliwa 25/12/1985, tunaanza kwa kutumia hesabu rahisi:
25 (siku yako ya kuzaliwa) + 12 (mwezi wako wa kuzaliwa) + 2023 (mwaka wa sasa).

Kisha, fanya uchanganuzi zaidi kwa kuongeza tarakimu zote za matokeo mpaka upate tarakimu moja au tarakimu muhimu zaidi.

Kwa mfano, 2 + 5 = 7,
1 + 2 = 3,
na 2 + 0 + 2 + 3 = 7.
Kisha, 7 + 3 + 7 = 17.
Hatimaye, 1 + 7 = 8.

Hivyo, mwaka binafsi wako kwa mwaka 2023 unaweza kuwa unashabihiana na tarakimu 8. Hii inaweza kumaanisha mambo tofauti kulingana na mifumo na tafsiri mbalimbali za numerolojia.
 
Kwa mfano, kwa mwaka 2023 na tarehe ya kuzaliwa 25/12/1985, tunaanza kwa kutumia hesabu rahisi:
25 (siku yako ya kuzaliwa) + 12 (mwezi wako wa kuzaliwa) + 2023 (mwaka wa sasa).

Kisha, fanya uchanganuzi zaidi kwa kuongeza tarakimu zote za matokeo mpaka upate tarakimu moja au tarakimu muhimu zaidi.

Kwa mfano, 2 + 5 = 7,
1 + 2 = 3,
na 2 + 0 + 2 + 3 = 7.
Kisha, 7 + 3 + 7 = 17.
Hatimaye, 1 + 7 = 8.

Hivyo, mwaka binafsi wako kwa mwaka 2023 unaweza kuwa unashabihiana na tarakimu 8. Hii inaweza kumaanisha mambo tofauti kulingana na mifumo na tafsiri mbalimbali za numerolojia.
100%
 
Hatari ninayoiona ni wale ambao wamefikia namba 9 katika mzunguko wasipowianusha mambo hali huenda ikawa mbaya zaidi kwa sababu ifuatayo;

Namba ya mwaka binafsi inaweza kutoa mwanga kuhusu mambo muhimu katika mwaka huo. Kwa mfano , 9 inaweza kuashiria mwisho wa mizunguko na kuanza kwa awamu mpya, hapa kuna mambo kadhaa ya kuzingatia:

  1. Kuachilia: Huenda ikawa wakati wa kuondoa mambo yasiyo na maana au ya zamani katika maisha yako. Kukubaliana na mabadiliko na kuachana na vitu visivyofaa.
  2. Kujitolea kwa Utumishi: Kipindi hiki kinaweza kuwa fursa ya kujitolea kwa kazi ya hisani au kusaidia wengine. Kujenga urithi wa kusaidia wengine.
  3. Kukamilisha Miradi: Kwa kuwa nambari 9 inawakilisha mwisho, fikiria kukamilisha miradi ambayo haujamaliza. Kufunga milango ya zamani kabla ya kuanza mpya.
  4. Kujiweka huru: Kujitenga na mambo ambayo hayakusaidii tena. Weka mkazo kwenye maendeleo yako ya kibinafsi na kujitafakari.
  5. Kuanzisha Mwanzo Mpya: Ingawa ni mwisho wa mizunguko, ni mwanzo wa kitu kipya. Hivyo, unaweza kutumia fursa hii kuanzisha mipango na maamuzi mapya kwa maisha yako ya baadaye.
 
Dr. Umenifungua akili zaidi juu ya hii kitu nilikuwa kama naipuuzia hivi ila nimejiangalia kupitia maarifa uliyotupa nikajiona namna ambayo ningeweza kupoteza kama nisingezingatia "resonance" ya mwaka.
Ni muhimu Kuangalia How your Personal Year number Resonant with the Universal One Energetically...

Ndo maana Kuna watu wanakuambia "Watu wanasema mwaka fulani ulikuwa mzuri mbona mimi kwangu ulikuwa mbaya na nilifata vilivyoagizwa"..

Ni kwa sababu alilzimisha Kuresonate na Energy au frequency ambayo hakuwa nayo so unashangaa anasubiri Treni Airport..

Hicho ni cha msingi japo viko vingi vya kuangalia kama compatibility (Cheiro compatibiliy na Chaldean compatibility)
 
Ni muhimu Kuangalia How your Personal Year number Resonant with the Universal One Energetically...

Ndo maana Kuna watu wanakuambia "Watu wanasema mwaka fulani ulikuwa mzuri mbona mimi kwangu ulikuwa mbaya na nilifata vilivyoagizwa"..

Ni kwa sababu alilzimisha Kuresonate na Energy au frequency ambayo hakuwa nayo so unashangaa anasubiri Treni Airport..

Hicho ni cha msingi japo viko vingi vya kuangalia kama compatibility (Cheiro compatibiliy na Chaldean compatibility)
Ni mwendo wa kuendeleza kusoma kwa kina
Asante Dr
 
Ni mwendo wa kuendeleza kusoma kwa kina
Asante Dr
Soma vile vitabu vizuri kabisa taratibu..
Soma zile Pathagirean Birth chart utagundua kila tarehe na kila herufi kwenye Jina na siku yako ya kuzaliwa kwa pamoja vinabeba Tabia zako..
Maisha yako Path, na Destiny...

Soma chapter Five ya The complete Books of numerology Hakika numerology ni Tamu na kuijua hutajutia na najua hujuitii kuijua
 
Kuna njia mbalimbali za kujua namba yako kinajimu. Unaweza kutumia tarehe yako ya kuzaliwa kufanya hesabu ya namba yako ya kuzaliwa. Kisha unaweza kuchambua namba hiyo kulingana na kanuni za numerolojia. Kwa mfano, kwa kuchanganya na kufanya hesabu ya namba zinazounda tarehe yako ya kuzaliwa, unaweza kupata namba yako kinajimu.
Mfano mtu aliyezaliwa 25/12/1985
2+5+1+2+1+9+8+5=33
33 si wanasema ni 3+3 ambayo ni sawa na 6
Au sijawaelewa
 
Back
Top Bottom