Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Habarini,
Mainstream dating advice from media, na kutoka kwa baadhi ya wanawake na wanaume wanaotuzunguka inatuambia wanaume kuwa ukitaka upate mwanamke wa ndoto zako inatakiwa ufanye moja ya hivi vitu:
MYTH NO: 1
1) Utafte hela na umhonge mdada pesa, na uwe na personality nzuri:
UKWELI
Pesa ni muhimu kwenye kurahisisha maisha, na kwenye mahusiano pia, ila kwenye kuipata genuine attraction ya mwanamke, pesa ni worthless. Kama mdada anakuona wewe sio handsome it means hakupendi, na kama hakupendi ni hakupendi tu, hakuna amount of money itabadilisha hisia zake kwako.
Pia wanawake wengi sahivi wana uwezo wa kutengeneza pesa wao wenyewe so dating itakua ngumu zaidi kwa wanaume ambao wanategemea financial power yao kumpata mdada, kwenye swala la personality mwanaume ukiwa handsome, personality doesn't really matter kwa mwanamke, you'll get away with almost anything unaeza ukamwambia upuuzi na bado akaendelea kukupenda.
MYTH
2) Umfukuzie sana kwa mda mrefu na playing hard to get ni asili ya mwanamke, ili ajue kwamba kweli uko serious nae:
UKWELI
This stuff doesn't really work, mwanamke anajua mwanaume anaemtaka within 3 seconds za kumuona huyo mwanaume, ukiona mdada ana play hard to get kwa sana, 9/10 hakutaki ila kukwambia live anaogopa anasubiri ujiongeze, ukifukuzia sana akiona wanaume anaowataka hawapati ndo anajiegesha kwako.
UKWELI MCHUNGU:
Ukiachana na udomo zege, wanaume wengi tuna struggle kupata wadada wa ku-date nao/ mke na kuja humu JF kuanzisha nyuzi za kuombwa hela na karibia kila mdada muda mfupi baada ya kutongoza, kwa sababu moja kuu: (LOOKS/MUONEKANO WETU) ninaposema looks simaanishi mpangilio wa mavazi, namaanisha body features, k.v macho, urefu, uso mzuri etc
Wanaume wengi kwenye department ya muonekano tumefeli, mwanaume una kitambi, upara, sura mbaya, mfupi sana, kimbaumbau etc hapo kwenye kutongoza lazma uone wadada wengi wana roho mbaya.
Wanaume mtakuwa mashahidi wangu, mwanamke anaekutaka utamjua tu, kwenye process ya kumtongoza hutahitaji kumtoa out ya dinner mlimani city, hutahitaji kumfukuzia miezi 8 au mwaka ili akukubalie, hutahitaji kumtumia hela karibia kila siku, hutahitaji kumpa zawadi yoyote, hutahitaji kumuandikia gazeti la sms zisizojibiwa kila siku, the whole.
Process ya kumpata itakua rahisi sana sababu na yeye amekuelewa kutokana na kua amekuona wewe ni handsome. Kwa sababu kajirahisi kwako haimaanishi kwa wanaume wengine ni mrahisi. Kufukuzia wanawake over time inam-drain mwanaume emotionaliy & financially.
Uwekezaji woote wa muda na pesa unaofanya kwa mwanamke, kimoyo moyo mwanamke anaona hauna maana yoyote kama hajavutiwa na wewe, akija mwanaume mwenye muonekano mzuri, mwanaume sponsor mwekezaji unasahaulika chap, utabaki brother zone au friendzone.