Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Hakuna vijana wanaopitia Magumu kama Hawa wa Dar , Vijana wa Dar wanataka mafanikio ya haraka sana, wanaumizwa wanapoona watu waliwafaham miezi michache nyuma wakiwa hawana kitu, sasa wanawaona Mitandaoni wakiwa wenye Mali, Magari mazuri, majumba mazuri.
Itakufaa nini kua Utajiri wa haraka sana lakini Umaarufu wako ukazima ghafla Ndani ya miaka 15 tu?. Kisha Mali yako zikayeyuka kisipatikane hata Cha kurithika?
Najaribu kusema hivi, hatupaswi kuishi Maisha yetu Kwa kuyalinganisha na wengine Kwa sababu hatima yake ni Maumivu.
Kioo Cha Maisha yako kinapaswa kua JANA YAKO MWENYEWE.
Hatupaswi kuishi kwenye Deadlines za watu wengine, kwamba nikifika Mika 35 niwe na kile na kile na kile, hapana, Kila MTU ana njia zake.
Nikawahi kuwaambia, Kuna MTU anapata Mafanikio akiwa na miaka 30 ila anakuja Kufa na miaka 40, mwingine anapata Mafanikio na miaka yake 40 ila anaishi miaka 90. Hiii ndo Huwa nasema Kila Mwanadam yuko kwenye Muda wake na Ratiba yake sahihi.
Ni lazima Kila Mtafutaji halali atambue tu kua Kila jambo na wakati wake.
Tuendelee kua na Ndoto, tufanye kazi Kwa Bidii, tujiongezee maarifa, Uvumilivu, Tuishi sawa na tulivyonavyo, Kukuomba Mungu.
Tujali Afya zetu Kwa kujitahidi sana
👉Kupunguza uzito.
👉Kunywa maji ya kutosha Mara Kwa mara
👉Kudhibiti unywaji Pombe.
👉Kudhibiti uvutaji sigara.
👉Kuachana na Ngono zembe.
👉Kufanya mazoezi walau Kwa siku tatu Ndani ya wiki Moja
👉Kufanya check-up ya mwili ,zaidi zaidi magonjwa yasoambukizwa , kuwahi matibabu mapema Kwa magonjwa yote.
👉Kula mlo kamili na Matunda .
👉Kuachana na unywaji na ulaji wa mavyakula ya Viwanda.
👉Kuachana na Mahusiano yasokua na maana Kwa ajili ya Afya ya akili.
Usiwaze sana kwamba Sasa ni 2025 as long as we make positive changes constantly then we don't need a New Year .