ameangalia jamii ilivo kwa sasa,hii sera ya 50/50,imefanya wanawake hawataki kuwatii waume zao,,,,na ujue huu mpango wa 50/50 {haki sawa kati ya wanaume haikuanza leo] ilianza wakati ule mkutano ulipofanyika beijing-china [ukijulikana kama beijing conference],,wakati huo tanzania tuliwakilishwa na getrude mongela,,,,lengo lilikuwa kwenda kinyume na maagizo ya MUNGU,kihalisia MWANAUME ameumbwa kutawala,,,,sasa ikatengenezwa agenda ya kwenda kinyume,,,matokeo yake kwa sasa HAKUNA KI2 KIGUMU KAMA NDOA,ndo manake unaona walevi wamekuwa wengi[wanaume]mauaji ya kujiua na kuua yamekua mengi pia,,,lakini,,,hawa wazungu baada ya kuona wamefanikiwa hapo,hawakuishia hapo,wakaanza kutulazimisha wanaume kwa wanaume kuoana[ushoga]wanawake na wanawake kuoana,,,matokeo yake unaona wa2 wanazidi kuchanganyikiwa'lakini pia hawakuishia hapo,,,tajiri musk akaja na issue ya kutengeneza maroboti yakike na kiume unalioa unaishi nalo,,,,,,,kwa nini katengeneza maroboti?,,,,kwa sababu kaona fursa,,,,,ndoa hazipo tena!!...labda nikuulize wewe hapo,lini umerudi kazini mkeo akakupokea kabegi chako?