Mwaka 2025 ni kimbembe, kama wakurugenzi hawatafanya yao CCM hawatoboi. Kanda ya Kaskazini wana yao pia moyoni,masasi yamelindima

Mwaka 2025 ni kimbembe, kama wakurugenzi hawatafanya yao CCM hawatoboi. Kanda ya Kaskazini wana yao pia moyoni,masasi yamelindima

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Ndugu zao wamemwaga damu kwa ajili ya ardhi yao ambayo wamekaa kizazi na kizazi. Mbona hatuajawahi kushuhudia haya mambo?

Ilianzia kanda ya Ziwa na sasa imefika kanda ya kaskazini.Mwaka 2025 ni kimbembe.
20220611_211517.jpg
 
Hizi pocha ni za Kenya za mwaka 2007 wakati wa vurugu za uchaguzi.

Acheni ujinga. Hata mfanyeje mama ndiye rais mpk 2030.
 
Amka kumekucha wewe! Jana sio Leo tena mkuu!!

Jana ni jana haiwezi kuwa Leo!
Tukutane 2025

Position ya CDM kwamba hawatashiriki uchaguzi wa 2025 bila Katiba mpya ndiyo itakuwa free ride ya CCM. Believe me, hiyo Katiba mpya haitakuwepo!
 
Hizi pocha ni za Kenya za mwaka 2007 wakati wa vurugu za uchaguzi.

Acheni ujinga. Hata mfanyeje mama ndiye rais mpk 2030.

Wamaasai (wawe wa Kenya au Tanzania) hawana kawaida ya kushiriki kwenye pure political unrests!
 
Eti JPM alikuwa mbaya…hv angekubali wanyonge wanyanyaswe kwenye ardhi yao kisa mwarabu anapataka…

Ona kulivyo kuzuri…watu wameshainywa ardhi hio…wamasai sasa hv ni takataka
 
 
Hakuna watu ambao hawachelewi kusahau matatizo yao ya nyuma Kama waTZ nakuhakikishia mpaka kufikia huo mwaka waTz watasahau kila gumu walilopitia na kura kwa sisiem tu
Hata wiki ijayo akienda yule bibi kule utakuta mimasai imepangana barabarani kumpokea na kumwimbia nyimbo za kumpongeza. Sasa ikifika 2025 ni ushindi wa kishindo tu. Ngoja tutwange tu hadi damu itoke labda tutasikia na kubadilika
 
Sasa kwann haya mapicha mnayahusisha na Loliondo?

Mimi siamini kama kuna Wamaasai walishiriki kwenye vurugu za uchaguzi wa Kenya. It’s almost impossible; wale sio watu wa pure political agenda!
 
Back
Top Bottom