NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Mkuu
Hongera kwa Uzi na picha pia
Duru za hapa jukwaani
Hakuna uchaguzi Hadi katiba Mpya ipatikane KWANZA na itapatikana 2026!
Ni hivyo tu !pigania katiba!
CCM na CHADEMA zitakufa na kuzaliwa chama kipya na upinzani mpya!kama TANU NA ASP NA KUZAA CCM!
TUSUBIRI!