Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Amka kumekucha wewe! Jana sio Leo tena mkuu!!Hakuna watu ambao hawachelewi kusahau matatizo yao ya nyuma Kama waTZ nakuhakikishia mpaka kufikia huo mwaka waTz watasahau kila gumu walilopitia na kura kwa sisiem tu
Amka kumekucha wewe! Jana sio Leo tena mkuu!!
Jana ni jana haiwezi kuwa Leo!
Tukutane 2025
Hizi pocha ni za Kenya za mwaka 2007 wakati wa vurugu za uchaguzi.
Acheni ujinga. Hata mfanyeje mama ndiye rais mpk 2030.
Kwa hiyo majeraha ndiyo huwa yanapiga kura?Ndugu zao wamemwaga damu kwa ajili ya ardhi yao ambayo wamekaa kizazi na kizazi. Mbona hatuajawahi kushuhudia haya mambo?
Ilianzia kanda ya Ziwa na sasa imefika kanda ya kaskazini.Mwaka 2025 ni kimbembe.
View attachment 2257711
Sasa kwann haya mapicha mnayahusisha na Loliondo?Wamaasai (wawe wa Kenya au Tanzania) hawana kawaida ya kushiriki kwenye pure political unrests!
Hata wiki ijayo akienda yule bibi kule utakuta mimasai imepangana barabarani kumpokea na kumwimbia nyimbo za kumpongeza. Sasa ikifika 2025 ni ushindi wa kishindo tu. Ngoja tutwange tu hadi damu itoke labda tutasikia na kubadilikaHakuna watu ambao hawachelewi kusahau matatizo yao ya nyuma Kama waTZ nakuhakikishia mpaka kufikia huo mwaka waTz watasahau kila gumu walilopitia na kura kwa sisiem tu
Sasa kwann haya mapicha mnayahusisha na Loliondo?
Hizi pocha ni za Kenya za mwaka 2007 wakati wa vurugu za uchaguzi.
Acheni ujinga. Hata mfanyeje mama ndiye rais mpk 2030.
Kila siku siyo JumapiliHakuna watu ambao hawachelewi kusahau matatizo yao ya nyuma Kama waTZ nakuhakikishia mpaka kufikia huo mwaka waTz watasahau kila gumu walilopitia na kura kwa sisiem tu
Kila siku siyo Jumapili
CHADEMA hata wakishiriki hawana impact yoyotePosition ya CDM kwamba hawatashiriki uchaguzi wa 2025 bila Katiba mpya ndiyo itakuwa free ride ya CCM. Believe me, hiyo Katiba mpya haitakuwepo!
Iondolewe na nani na kwa sababu zipi ? Nani mbadala wa CCM ?Kwa ujinga huu unaoendelea inapaswa ccm iondolewe hata kabla ya 2025
Umejaza uha.ro kichwani.Hizi pocha ni za Kenya za mwaka 2007 wakati wa vurugu za uchaguzi.
Acheni ujinga. Hata mfanyeje mama ndiye rais mpk 2030.
Siku hizi anjiona bonge la smart wakati ni mbumbumbu maamuma!! Amejisajili kwenye timu ya Chawa wa mama hata hajui analipwa na nani!Umejaza uha.ro kichwani.