NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Alipouliwa Akwilina ilikuwa chini ya uongozi wa nani vile?!Eti JPM alikuwa mbaya…hv angekubali wanyonge wanyanyaswe kwenye ardhi yao kisa mwarabu anapataka…
Ona kulivyo kuzuri…watu wameshainywa ardhi hio…wamasai sasa hv ni takataka
Labda wapewe Hao wabaguzi baguzi wa rangi na dini ndio watawale !! Kwa kweli CCM wapo wapo sana tu !! Maana inaonekana wao ndio angalau wanaweza kuisimamia hii amani iliyopo nchini !!Iondolewe na nani na kwa sababu zipi ? Nani mbadala wa CCM ?
Wewe una undugu na wamasai tangu lini?Ndugu zao wamemwaga damu kwa ajili ya ardhi yao ambayo wamekaa kizazi na kizazi. Mbona hatuajawahi kushuhudia haya mambo?
Ilianzia kanda ya Ziwa na sasa imefika kanda ya kaskazini.Mwaka 2025 ni kimbembe.
View attachment 2257711
Machinga wenyewe washasahauHakuna watu ambao hawachelewi kusahau matatizo yao ya nyuma Kama waTZ nakuhakikishia mpaka kufikia huo mwaka waTz watasahau kila gumu walilopitia na kura kwa sisiem tu
Huo ndio ukweli ndugu yanguLabda wapewe Hao wabaguzi baguzi wa rangi na dini ndio watawale !! Kwa kweli CCM wapo wapo sana tu !! Maana inaonekana wao ndio angalau wanaweza kuisimamia hii amani iliyopo nchini !!
Ndugu zao wamemwaga damu kwa ajili ya ardhi yao ambayo wamekaa kizazi na kizazi. Mbona hatuajawahi kushuhudia haya mambo?
Ilianzia kanda ya Ziwa na sasa imefika kanda ya kaskazini.Mwaka 2025 ni kimbembe.
View attachment 2257711