Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Japo watu weusi tuna matatizo mengi sana na ye kipekee tofauti na races lakini sio jambo jema kujidharau kama watu weusi, sio vyema kudharau hali yetu kutokana na weusi tu, sio sawa kujiona duni na dhalili na vituko mbele ya jamii nyingine zilizoendelea.
Mwaka 2025 uwe ni mwaka wa kujikubali pamoja na madhaifu yetu. Tukubali tu hivyo ndivyo tulivyoumbwa kwa wale wanaoamini binadamu wameumbwa au ndivyo tulivyotokelezea kupitia natural process na evolution kwa wale wasioamini katika uumbaji.
Tujivunie Uafrika wetu.