Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Hata RR ya miaka 40 iliopita hutaweza kuinunua.Ntaagiza RR uingereza kwa bei ya kutupa 😉 😉
Halafu wapo watu wana hela ya kufanya hayo kabisa. Ingekuwa mie bhakressa ningeanza kuingiza mfumo huo mdogo mdogo tu.Nafikiri kwa huu mradi wa Nyerere Hydro Power Plant megawatt kama zote unatoa fursa kubwa kwenye hili eneo.
Nafikiri watu wangeanza kufikiria Petrol Station zenye design ya kuchaji magari ya umeme. Fursa mpya hii huku tunakoenda.
Anayejipanga mapema ndio atakaefaidi matunda haya.
Kwa taarifa yako enzi za miaka ya sabini mitumba toka ulaya ilikuwa unaipata bure! Mwenye gari badala ya kuilipa serikali pesa nyingi ili iiondoe na brekidauni yao nyumbani pake anakupa wewe uiondowe hivyo unakusanya mbili zikifika hapa unauza moja unalipia yako na mambo yanakuwa poa, ila sasa vijana mabaharia wakawa na magari ya maana kuliko serikali mbona serikali ya roho mbaya ikawanyang'anya wakauziana wao, serikali inauza gari lisilo lake na pesa intia kibindoni!Ntaagiza RR uingereza kwa bei ya kutupa 😉 😉
Hapo ntamshusha mtu kishipaKwa taarifa yako enzi za miaka ya sabini mitumba toka ulaya ilikuwa unaipata bure! Mwenye gari badala ya kuilipa serikali pesa nyingi ili iiondoe na brekidauni yao nyumbani pake anakupa wewe uiondowe hivyo unakusanya mbili zikifika hapa unauza moja unalipia yako na mambo yanakuwa poa, ila sasa vijana mabaharia wakawa na magari ya maana kuliko serikali mbona serikali ya roho mbaya ikawanyang'anya wakauziana wao, serikali inauza gari lisilo lake na pesa intia kibindoni!
Ntainunua for status tooHata RR ya miaka 40 iliopita hutaweza kuinunua.
Hizi gari sio suala la hela, watu wanazimiliki for status reasons. Sio Crown hizo.
Kama hutaweza inunua sahivi ikishafika hiyo miaka inageuka kuwa 'vintage' car.Ntainunua for status too
Na mimi nataka Vintage zile za kizamani zenye wheel coverKama hutaweza inunua sahivi ikishafika hiyo miaka inageuka kuwa 'vintage' car.
Bei za vintage cars zinaweza fika hata mara 5 ya bei ya gari hiyo ikiwa sio vintage.
Halafu wapo watu wana hela ya kufanya hayo kabisa. Ingekuwa mie bhakressa ningeanza kuingiza mfumo huo mdogo mdogo tu
tajiri wetu MO Dewji yeye aliagiza tesla model x(the cheapest model) sijui iliishia wapi hio gari.
Watu wana hela ila hawana creativity. Wasio na hela wana creativity!!!Halafu wapo watu wana hela ya kufanya hayo kabisa. Ingekuwa mie bhakressa ningeanza kuingiza mfumo huo mdogo mdogo tu.