Mwaka 2030 Uingereza haitauza magari ya petroli na dizeli

Mwaka 2030 Uingereza haitauza magari ya petroli na dizeli

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
21,741
Reaction score
26,735
Nchi ya Uingereza itaacha kuuza magari yanayotumia petroli na dizeli mwaka 2030! Badala yake itatumia magari yanayotimia umeme (betri). Chini ya mpango huu vituo vya mafuta vitakuwa ni vya kuchaji magari kwa haraka.

Watanzania tujiandae kupokea mitumba toka Uingereza.
 
sasa Zanzibar nasikia walitaka kujitenga kisa kuna mafuta . hivi wakichimba watamuuzia nani maana lita itakuwa 500 Tzs. nyerere aisee yule mzee aliona mbali Sana respect kwa huu muungano.
 
Nafikiri kwa huu mradi wa Nyerere Hydro Power Plant megawatt kama zote unatoa fursa kubwa kwenye hili eneo.
Nafikiri watu wangeanza kufikiria Petrol Station zenye design ya kuchaji magari ya umeme. Fursa mpya hii huku tunakoenda.
Anayejipanga mapema ndio atakaefaidi matunda haya.
 
Halafu wapo watu wana hela ya kufanya hayo kabisa. Ingekuwa mie bhakressa ningeanza kuingiza mfumo huo mdogo mdogo tu.
 
Ntaagiza RR uingereza kwa bei ya kutupa 😉 😉
Kwa taarifa yako enzi za miaka ya sabini mitumba toka ulaya ilikuwa unaipata bure! Mwenye gari badala ya kuilipa serikali pesa nyingi ili iiondoe na brekidauni yao nyumbani pake anakupa wewe uiondowe hivyo unakusanya mbili zikifika hapa unauza moja unalipia yako na mambo yanakuwa poa, ila sasa vijana mabaharia wakawa na magari ya maana kuliko serikali mbona serikali ya roho mbaya ikawanyang'anya wakauziana wao, serikali inauza gari lisilo lake na pesa intia kibindoni!
 
Hapo ntamshusha mtu kishipa
 
Kama hutaweza inunua sahivi ikishafika hiyo miaka inageuka kuwa 'vintage' car.

Bei za vintage cars zinaweza fika hata mara 5 ya bei ya gari hiyo ikiwa sio vintage.
Na mimi nataka Vintage zile za kizamani zenye wheel cover

images.jpg
 
Acha wahamie kwenye Electric Vehicles watakumbuka utamu wa internal combustion engine.

Real car enthusiastic watabaki kwenye gari za petrol/diesel.
 
Back
Top Bottom