Mwaka 2055 kutakua na wazee wa hovyo haijawahi kutokea

Loading failed

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2023
Posts
3,003
Reaction score
8,385
Ndugu salaam..

Miaka hiyo ma genz wa 90's watakua wamezeeka sana

Na miaka hiyo ma genz wa 2000's watakua wazee wa makamo huku wadogo zao wa 2010 wakiwa ndiyo wa baba na wa mama wa kuwaomba ushauri ili hali ujana wao tunawaona wakitembea uchi hasa hasa mabinti huku vijana wa kiume wakijiita wadudu

Ndugu hali ilivyo sasa ni mbaya sana kuliko kawaida kiasi cha inaleta picha ya kwamba siku za usoni miaka ya 2055 kutakua na wazee wa hovyo sana mfano hakuna na ikiwa unataka ushauri labda uende vijiji vya ndani ndani sana kutafuta wazee wenye busara kwa gharama kubwa sana kuliko kawaida.
 
Vijana wa 90 ndo wanajitambua kuzidi hao wazee ambao wameiba Mali za nchi na kuleta umasikini mkubwa .

Vijana wa 90 ndo hawa wamesoma Ila hawana ajira weamua kujiajiri katika uafisa ubashiri na uafisa mwendo n.k

Vijana wa 90 s ukimuona kafanikiwa au anamudu milo 03 mpigie saluti kwakuwa anapambana na mengi Sana

Najiuliza hawa wezi waliobia nchi na kuficha madolali ulaya wangezaliwa miaka ya 90 wangeweza kupata hata milo miwili kweli.

Wana miaka 60s na 70s Ila wanakosa ubunifu wanakomaa na siasa hawaachii nafasi

Tazama wasomi wa zamani Kama lipumba ni vichekesho yaani
 
Ukitaka kujua taswira ya jamii itakuwaje japo kwa picha ya wastani then jaribu kutazama Marekani majimbo yenye population kubwa ya waafrika.

Walivyo wale na sisi nahisi ndipo tuaelekea huko. Wanasiasa matapeli, masingle mother vizazi 5 nyuma, dawa za kulevya na ulevi, magonjwa ya zinaa kuwa sehemu ya maisha ya kila siku, umalaya ndio ajira kuu ya wanawake, wanaume wasiojua nini maana ya baba sababu ya kulelewa na single mother wao ni kuweka mimba na kukimbia, uhalifu mdogo mdogo kama uporaji udokozi ndio itakuwa ajira ya kwanza ya hawa fatherless young men, polisi brutality itaongezeka sababu mfumo wa kwaajiri askari ni very corrupt and ineffective, plus of course unsolved murders itakuwa kawaida.

Endeleeni kukaa kimya shetani anatengeneza kizazi chake saa hii. Mkitaka kuzuia muda ndio huu.
 
Ndugu salaam..

Miaka hiyo ma genz wa 90's watakua wamezeeka sana

Na miaka hiyo ma genz wa 2000's watakua wazee wa makamo huku wadogo zao wa 2010 wakiwa ndiyo wa baba na wa mama wa kuwaomba ushauri ili hali ujana wao tunawaona wakitembea uchi hasa hasa mabinti huku vijana wa kiume wakijiita wadudu

Ndugu hali ilivyo sasa ni mbaya sana kuliko kawaida kiasi cha inaleta picha ya kwamba siku za usoni miaka ya 2055 kutakua na wazee wa hovyo sana mfano hakuna na ikiwa unataka ushauri labda uende vijiji vya ndani ndani sana kutafuta wazee wenye busara kwa gharama kubwa sana kuliko kawaia\
Gen Z inananzia 1997-2012 mkuu note that, 1981 to 1996 ni "Millennials (Gen Y): 1981 – 1996"
 
Ndugu salaam..

Miaka hiyo ma genz wa 90's watakua wamezeeka sana

Na miaka hiyo ma genz wa 2000's watakua wazee wa makamo huku wadogo zao wa 2010 wakiwa ndiyo wa baba na wa mama wa kuwaomba ushauri ili hali ujana wao tunawaona wakitembea uchi hasa hasa mabinti huku vijana wa kiume wakijiita wadudu

Ndugu hali ilivyo sasa ni mbaya sana kuliko kawaida kiasi cha inaleta picha ya kwamba siku za usoni miaka ya 2055 kutakua na wazee wa hovyo sana mfano hakuna na ikiwa unataka ushauri labda uende vijiji vya ndani ndani sana kutafuta wazee wenye busara kwa gharama kubwa sana kuliko kawaida.
Akina Anko T, Dulvan n.k
 
Nitakuwa mzee kwa kishua,na vuta bangi,nashusha mregezo,nasikiliza nyimbo za bongo fleva
 
Watakua ni wazee wa maana kulingana na generation itakayokuwepo
 
Back
Top Bottom