Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 3,003
- 8,385
Vijana wa 90 ndo wanajitambua kuzidi hao wazee ambao wameiba Mali za nchi na kuleta umasikini mkubwa .Ndugu salaam..
Miaka hiyo ma genz wa 90's watakua wamezeeka sana
Na miaka hiyo ma genz wa 2000's watakua wazee wa makamo huku wadogo zao wa 2010 wakiwa ndiyo wa baba na wa mama wa kuwaomba ushauri ili hali ujana wao tunawaona wakitembea uchi hasa hasa mabinti huku vijana wa kiume wakijiita wadudu
Ndugu hali ilivyo sasa ni mbaya sana kuliko kawaida kiasi cha inaleta picha ya kwamba siku za usoni miaka ya 2055 kutakua na wazee wa hovyo sana mfano hakuna na ikiwa unataka ushauri labda uende vijiji vya ndani ndani sana kutafuta wazee wenye busara kwa gharama kubwa sana kuliko kawaida.
Mimi na wewe tujitunze ili uzeeni tuwe lulu mbele ya walimwengu walioharibikaWAZEE wasio na HEKIMA
Gen Z inananzia 1997-2012 mkuu note that, 1981 to 1996 ni "Millennials (Gen Y): 1981 β 1996"Ndugu salaam..
Miaka hiyo ma genz wa 90's watakua wamezeeka sana
Na miaka hiyo ma genz wa 2000's watakua wazee wa makamo huku wadogo zao wa 2010 wakiwa ndiyo wa baba na wa mama wa kuwaomba ushauri ili hali ujana wao tunawaona wakitembea uchi hasa hasa mabinti huku vijana wa kiume wakijiita wadudu
Ndugu hali ilivyo sasa ni mbaya sana kuliko kawaida kiasi cha inaleta picha ya kwamba siku za usoni miaka ya 2055 kutakua na wazee wa hovyo sana mfano hakuna na ikiwa unataka ushauri labda uende vijiji vya ndani ndani sana kutafuta wazee wenye busara kwa gharama kubwa sana kuliko kawaia\
Akina Anko T, Dulvan n.kNdugu salaam..
Miaka hiyo ma genz wa 90's watakua wamezeeka sana
Na miaka hiyo ma genz wa 2000's watakua wazee wa makamo huku wadogo zao wa 2010 wakiwa ndiyo wa baba na wa mama wa kuwaomba ushauri ili hali ujana wao tunawaona wakitembea uchi hasa hasa mabinti huku vijana wa kiume wakijiita wadudu
Ndugu hali ilivyo sasa ni mbaya sana kuliko kawaida kiasi cha inaleta picha ya kwamba siku za usoni miaka ya 2055 kutakua na wazee wa hovyo sana mfano hakuna na ikiwa unataka ushauri labda uende vijiji vya ndani ndani sana kutafuta wazee wenye busara kwa gharama kubwa sana kuliko kawaida.
Nitakuwa mzee kwa kishua,na vuta bangi,nashusha mregezo,nasikiliza nyimbo za bongo flevaNdugu salaam..
Miaka hiyo ma genz wa 90's watakua wamezeeka sana
Na miaka hiyo ma genz wa 2000's watakua wazee wa makamo huku wadogo zao wa 2010 wakiwa ndiyo wa baba na wa mama wa kuwaomba ushauri ili hali ujana wao tunawaona wakitembea uchi hasa hasa mabinti huku vijana wa kiume wakijiita wadudu
Ndugu hali ilivyo sasa ni mbaya sana kuliko kawaida kiasi cha inaleta picha ya kwamba siku za usoni miaka ya 2055 kutakua na wazee wa hovyo sana mfano hakuna na ikiwa unataka ushauri labda uende vijiji vya ndani ndani sana kutafuta wazee wenye busara kwa gharama kubwa sana kuliko kawaida.
Hukosi kwenye wazee wa hovyo?kama uzima utakuwepo sikosi