Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 620
- 1,240
Mwaka 2060 watu watakua na uwezo wa kusafiri toka sehemu moja kwenda nyingine kwa kufikiria tu!!
Je utajisikiaje ikifika wakati unatoka Dar Kwenda Dodoma kwa kufumba na kufumbua macho tu kama ilivyokuwa kipindi Cha Nabii Suleiman š¤«....!!!!
Wanasayansi wako kwenye Utafiti wa kuleta Teknolojia mpya inaitwa Teleportation, tunaweza sema Ndoto ya baadaye ambapo Mtu ataweza kusafiri toka sehemu moja kwenda nyingine kwa kufikiria tu.
Tumekua tukingaalia kwenye movie mbalimbali kama vile, vitabu vya dini, Matrix, star trik na movie zile sci - fi ya wagunduzi kuruka toka sehemu moja kwenda nyingine kupitia kufumba na kufumbua tu macho.
Watu walikua na uwezo wa kuingia chumba Fulani mahali na kutoweka kwa haraka hadi eneo la mbali limevutia sasa wanasayansi wanataka kuileta kwenye Maisha ya Uwalisia.
Lakini vipi ikiwa ndoto hiyo iko karibu kuliko tunavyofikiri? Kufikia 2060, maendeleo ya Teknolojia inaweza kuwa zaidi ya ndoto tu.
Shukrani kwa maendeleo ya Quantum pizikia (physics) Teknolojia hii itaweza kuwa mustakabali wa kuweza kusafirisha Mtu mahali popote duniani kwa sekunde kadhaa tu.
iwe kwa madhumuni ya kuabudu, kupatiwa matibabu, usafiri, kisayansi utaweza kupitia kufikiria tu utaweza kusonga Angani.
Credit to: #Bongotech255 #Nasa #astronomy
Je unafikiri itawezekana kuwasafirisha wanadamu kwenda sehemu nyingine kwa kufikiria tu š³!!!!