Papillon 1906
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 228
- 753
Mwaka gani ulikutana na tatizo la afya ya akili na kipi kilipelekea kukutana na tatizo hilo?
Nakumbuka nadhani ilikuwa mwaka 2020 na 2022 nilipata mawazo na msongo mkubwa baada ya kuenea corona dunia nzia tulishuhudia shughuli mbalimbali zikisitishwa na mambo mengi kusimama na ikatubidi kuchukua tahadhari kwa kujifungia ndani.
Huku tukishuhudia maelfu ya watu wakipoteza maisha.