Mwaka huu 2022, Karim Benzema anastahili Ballon D’or

Mwaka huu 2022, Karim Benzema anastahili Ballon D’or

Benzema kawafunga mancity goal 3 na sio 2, back to the topic , kigezo cha kuchukua kombe la mataifa ya Africa huku akiwa mchezaji Bora bado kinampa credit Mane , akichukua UEFA na vikombe hata viwili vya mbuzi ( ambacho kimoja anacho ) kinampaisha pia , tatizo Tu ni kuwa ni Mwafrica ....Ila data zake kama zingekuwa za Benzema , bila doubt Benzema angechukua
Kama Liver akishinda UEFA basi mwenye kustahili ni Mane maana vigezo hatafutwi mfungaji bora ni mchezaji aliyechangia kwa kiasi kikubwa ushindi wa team yake sasa Mane kushinda kombe la African, qualify WC na kama ataongeza kikombe cha FA halafu aje achukuwe UEFA haya ni mafanikio makubwa sana, Messi alishinda Copa America tu wakasema inatisha kumpa. Kitu nilijifunza kwa mchezaji wa Africa na hata mataifa ya ulaya madogo ili upewe ni lazima ufanya mara mbili ya mchezaji kutoka France, Germ, Italy, Spain, UK, Port, Brazil na Argentina.
 
Benzema kawafunga mancity goal 3 na sio 2, back to the topic , kigezo cha kuchukua kombe la mataifa ya Africa huku akiwa mchezaji Bora bado kinampa credit Mane , akichukua UEFA na vikombe hata viwili vya mbuzi ( ambacho kimoja anacho ) kinampaisha pia , tatizo Tu ni kuwa ni Mwafrica ....Ila data zake kama zingekuwa za Benzema , bila doubt Benzema angechukua
Kua mwafrika wala sio tatizo kwenye hizo tuzo,ndo maana wako wazungu wengi tu ambao wangestahili kupata ila hawakupata kwasababu walitegemea juhudi zao za uwanjani peke yake ziwabebe.tuzo zinatokana na kura za watu.kwahiyo ili uipate itategemea uko vip na hao wapiga kura.Tunachokikosea sisi waafrika ni kukaa pembeni nakufikiri jitihada zetu peke yake ndio zitakazotubeba bila kujua dunia ya ushindani imebadilika.Dunia ya ushindani inataka kuona una ushawishi kiasi gani nasio umefanya kiasi gani.Wenzetu wamekua wajanja kushawishi mambo yao ndo yawe mambo ya dunia nzima kwahiyo ili nasisi afrika kufika level yakua na maamuzi yakusikilizwa tunatakiwa tuongeze nguvu zetu kwenye ushawishi.
 
MANE anastahili sana sana
Kama siyo mane bc benzema lakini Salah hapana labda kibiashara tu ila mane anastahili sana kupewa heshima yake ndani ya msimu huu ingawa hata ustaadhi Benz amefanya mengi mazuri Msimu huu
 
Mane bado,
Kigezo Cha ubingwa wa Africa Ni minor
Pale liver kafichwa na mafanikio ya Salah kuanzia kwenye ligi Hadi UEFA.

Salah kamzidi mane kila kitu

Ni Kama Yale Yale ya Neymar alipokua Barcelona, alifichwa sana na mafanikio ya messi
 
Twist of plot.

Salah anapiga golu moja CL final. Mane anapiga mbili. Liverpool wakuwa mabingwa week mbili baada ya kumcharaza Chelsea kwenye fainali ya FA. Na week moja baada ya Man City kuutema ubingwa wa PL dakika za mwisho.

Liverpool wanachukua vikombe vinne kwa msimu.

Wanaaiita Quadruple no ngoja mimi niiite QUADRUPOOL.

Haya sasa chagua katì ya Benzema, Salah na Mane. Utampa nani hiyo Balon d'Or?
 
Hizi tuzo ni za mchongo.Wenye biashara zao wakikupenda wanakupatia ballon d'or
 
Back
Top Bottom