julaibibi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2020
- 3,081
- 4,224
uongo. al hasaan na husein ni maimam wakubwa.suni gani anayewatukana uongo tu.labda awe hana ilmuKipenzi chetu Imam Hussein aliuwawa kikatili sana Karbala ili kulinda na kuutetea uislamu. Nasi Allah katupa Tawfiq. Lakini cha kuhuzunisha Sunni hawamuenzi Imam wetu wanamdhihaki kumtukana nakutudhihaki.
Allah mwenyez Mungu mwingi wa rehma ampe qaul thabeet kipenzi chetu Imam.