Organic Uncle
Senior Member
- Aug 2, 2013
- 167
- 331
Katika hali isiyo ya kawaida. Limetokea wimbi kubwa sana la vijana kuchukua fomu za kugombea uongozi katika nyanja mbalimbali.
Wasomi na hata ambao sio wasomi.
Sijui litatengenezwa bunge la namna gani safari hii.
Inasikitisha na inashangaza pia katika hali ambayo asilimia kubwa ya watu tunaiona sio rafiki kiusalama lakini vijana wenzetu wameamua kujizima data
Ukiacha vikwazo vya kupitishwa na chama chako ulichochukulia fomu adha kama
1. Ushirikina kwa unaowakuta ndani ya system hawawezi wakakuacha bure.
2. Ugumu wa kampeni utakaokutana nao mana asilimia kubwa ya watu wamekata tamaa na uchaguzi
3. Matusi na kejeli kwa watu unaowajua kwa
4. Sisemei uwezo wa kuwa kuongozi ambao hawana naangalia tamaa yao ya pesa ambayo hawawezi kufikiria njia mbadala kujiingizia kipato ila wanawaza ubunge ambapo nikufuata mteremko. Cheap is expensive katika dunia ya sasa.
5. Kufanyiwa vurugu wakati wa kampeni. Asilimia kuwa ya watu wamechoshwa na mambo yanayoendelea na kunauwezekano mkubwa kampeni zisiwe za kistaarabu.
Kwa nionavyo vijana wenzetu wamekosea TIMING. Kitu ambacho kitawagharimu sana.
WAPIGA KURA TUMEPUNGUA NA WANAOGOMBEA WAMEKUWA WENGI KULIKO WAPIGA KURA
ππ
Mpaka hamorapa hivi mkuu fomu ya ubunge bei gani
πππ sijajuaMpaka hamorapa hivi mkuu fomu ya ubunge bei gani
π€£π€£π€£π€£ mpaka kina amberruttyπππ sijajua
Nadhani ni milioni moja. CCM wanapiga hela kishenzi! Yaani wamezidiwa na hela mpaka watia nia wengine wananyimwa fomu πMpaka hamorapa hivi mkuu fomu ya ubunge bei gani
Hapa mchengerwa ndio kaweka kigingi/fix ili mwenzake asipenye anajua hakubaliki ila ana forceNadhani ni milioni moja. CCM wanapiga hela kishenzi! Yaani wamezidiwa na hela mpaka watia nia wengine wananyimwa fomu π
View attachment 3390387
Yatauana we subiria tuNadhani ni milioni moja. CCM wanapiga hela kishenzi! Yaani wamezidiwa na hela mpaka watia nia wengine wananyimwa fomu π
View attachment 3390387
Mchengerwa ameanza rafu ndani ya chama chakeNadhani ni milioni moja. CCM wanapiga hela kishenzi! Yaani wamezidiwa na hela mpaka watia nia wengine wananyimwa fomu π
View attachment 3390387
Kumbe bila kupingwa ililetwa na mchengerwa yaani mkwe na mama mkwe wanaogopa uchaguzi maana wanataka fomu Moja tu Sisi wanachama wa ccm HATUTAKI uvunjifu wa katiba yetuNadhani ni milioni moja. CCM wanapiga hela kishenzi! Yaani wamezidiwa na hela mpaka watia nia wengine wananyimwa fomu π
View attachment 3390387
Kwa muitikio huu wa Wana CCM kuchukua fomu, halafu unakuta mbwa inabweka, "CCM imekufa"! Nyambafu!!!Katika hali isiyo ya kawaida. Limetokea wimbi kubwa sana la vijana kuchukua fomu za kugombea uongozi katika nyanja mbalimbali.
Wasomi na hata ambao sio wasomi.
Sijui litatengenezwa bunge la namna gani safari hii.
Inasikitisha na inashangaza pia katika hali ambayo asilimia kubwa ya watu tunaiona sio rafiki kiusalama lakini vijana wenzetu wameamua kujizima data
Ukiacha vikwazo vya kupitishwa na chama chako ulichochukulia fomu adha kama
1. Ushirikina kwa unaowakuta ndani ya system hawawezi wakakuacha bure.
2. Ugumu wa kampeni utakaokutana nao mana asilimia kubwa ya watu wamekata tamaa na uchaguzi
3. Matusi na kejeli kwa watu unaowajua kwa
4. Sisemei uwezo wa kuwa kuongozi ambao hawana naangalia tamaa yao ya pesa ambayo hawawezi kufikiria njia mbadala kujiingizia kipato ila wanawaza ubunge ambapo nikufuata mteremko. Cheap is expensive katika dunia ya sasa.
5. Kufanyiwa vurugu wakati wa kampeni. Asilimia kuwa ya watu wamechoshwa na mambo yanayoendelea na kunauwezekano mkubwa kampeni zisiwe za kistaarabu.
Kwa nionavyo vijana wenzetu wamekosea TIMING. Kitu ambacho kitawagharimu sana.
WAPIGA KURA TUMEPUNGUA NA WANAOGOMBEA WAMEKUWA WENGI KULIKO WAPIGA KURA
ππ
Kachukue fomu mkuu. Au we kazi yako kutumika mitandaoni tu.Kwa muitikio huu wa Wana CCM kuchukua fomu, halafu unakuta mbwa inabweka, "CCM imekufa"! Nyambafu!!!
Sasa hivi Wana CCM kibao wanachukua fomu za kugombea, mbwa hizohizo zonabweka tena, "kwa wingi huu watarogana"! Nyambafu!!!
Kwahiyo, kwa mfano, Chadema hawarogani kwasababu ni wachache? Nyambafu!
Una uhakika sijachukua?Kachukue fomu mkuu. Au we kazi yako kutumika mitandaoni tu.
Watachaguana wenyewe. Wagombea pia ni wapiga kuraKatika hali isiyo ya kawaida. Limetokea wimbi kubwa sana la vijana kuchukua fomu za kugombea uongozi katika nyanja mbalimbali.
Wasomi na hata ambao sio wasomi.
Sijui litatengenezwa bunge la namna gani safari hii.
Inasikitisha na inashangaza pia katika hali ambayo asilimia kubwa ya watu tunaiona sio rafiki kiusalama lakini vijana wenzetu wameamua kujizima data
Ukiacha vikwazo vya kupitishwa na chama chako ulichochukulia fomu adha kama
1. Ushirikina kwa unaowakuta ndani ya system hawawezi wakakuacha bure.
2. Ugumu wa kampeni utakaokutana nao mana asilimia kubwa ya watu wamekata tamaa na uchaguzi
3. Matusi na kejeli kwa watu unaowajua kwa
4. Sisemei uwezo wa kuwa kuongozi ambao hawana naangalia tamaa yao ya pesa ambayo hawawezi kufikiria njia mbadala kujiingizia kipato ila wanawaza ubunge ambapo nikufuata mteremko. Cheap is expensive katika dunia ya sasa.
5. Kufanyiwa vurugu wakati wa kampeni. Asilimia kuwa ya watu wamechoshwa na mambo yanayoendelea na kunauwezekano mkubwa kampeni zisiwe za kistaarabu.
Kwa nionavyo vijana wenzetu wamekosea TIMING. Kitu ambacho kitawagharimu sana.
WAPIGA KURA TUMEPUNGUA NA WANAOGOMBEA WAMEKUWA WENGI KULIKO WAPIGA KURA
ππ
laki tano ubunge na elfu hamsini udiwaniMpaka hamorapa hivi mkuu fomu ya ubunge bei gani