Organic Uncle
Senior Member
- Aug 2, 2013
- 167
- 331
- Thread starter
- #21
Kachukue fomu na weweKwa muitikio huu wa Wana CCM kuchukua fomu, halafu unakuta mbwa inabweka, "CCM imekufa"! Nyambafu!!!
Sasa hivi Wana CCM kibao wanachukua fomu za kugombea, mbwa hizohizo zonabweka tena, "kwa wingi huu watarogana"! Nyambafu!!!
Kwahiyo, kwa mfano, Chadema hawarogani kwasababu ni wachache? Nyambafu!