Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
Kuna mwanangu mmoja yupo new Harlem new York kama mnyanyua box sasa mwaka huu amkekuja likizo hapa nchi aisee jamaa amekuja na pamba kali na amewanulia ndugu zake wote ndinga kali ma v8 yaani daah sio poa jamaaa ameniambia mwa kazi yake pekee ya kunyanyua ma box tu mamtoni ameoa mzungu na anaishi kwenye apartment kali japo ni ya mortgage lakinj ni kali kwahiyo huyu mwana akanisihi kama nataka kuishi maisha ya ndoto yangu niende tu Mantoni kwenda kunyanyua box kwahiyo wakuu nawaaga mwaka huu naenda mamtoni kwa njia ya green lottery
Kwaherini! Karibuni Kentucky jimbo la Minneapolis
Kwaherini! Karibuni Kentucky jimbo la Minneapolis