ZINJANTHROPAZ
JF-Expert Member
- Aug 6, 2023
- 287
- 470
- Thread starter
- #21
yaani hamna kila kitu af pale watu makini wameshapotea kbs cjui zmebaki nini tu.CHADEMA wameonesha mfano wa uchaguzi wa demokrasia unavyokuwa.
Kule CCM ni maigizo tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaani hamna kila kitu af pale watu makini wameshapotea kbs cjui zmebaki nini tu.CHADEMA wameonesha mfano wa uchaguzi wa demokrasia unavyokuwa.
Kule CCM ni maigizo tu.
Dudusa dubudubudubuduDuh aiseee
kuna wazee wengine hawakutaka hata kusimama kushangilia siku hyo mana ilikuwa ushuzi mtupuPicha mjongeo zipo wapi yaan acha tu kile kituko nilichokiona January 19 na January 20 basi tu
Huruma sanayaani hamna kila kitu af pale watu makini wameshapotea kbs cjui zmebaki nini tu.
chichiem oeeeehDudusa dubudubudubudu
hakika nakwambia ingekuwa mm ningeng'atuka mana cpendag kubishana na ukwel najua wapo na humu hata hawaoni aibuHuruma sana
Jamaa yako nyani amekurupuka kuanzisha uzi wakulia lia eti kura zimecheleweshwa.CHADEMA wameonesha mfano wa uchaguzi wa demokrasia unavyokuwa.
Kule CCM ni maigizo tu.
Sasa kwa kua ndugu zangu wajumbe jambo hili ni haliwezekani halafu pia ni km kituko maana halijawahi kufanyika na halijawahi kutokea tangu chama hiki kianzishwe lakini basi kwa sababu mnalazimisha tusilipitishe hivi hivi liundwe azimio baada ya kuundwa azimio basi kila kitu kitaenda sawa sawa ndugu wajumbe? Lakini pia hakuna wa kutuzuia kufanya jambo letu labda wachawi lakini sasa wale wachawi wote wameshakufa Oya TusepeWapambane vilivyo
chadema wanawanyima ccm usingizi,wanajiuliza huu uwazi chadema wanauwezajeMkuu hata hapa JF CCM ndio wameongoza kuuzungumzi uchaguzi wa CDM, unategemea nn?.
Waneonesha ustaarabu makubwa sana. Hongera sana mno.Mimi si mpenzi wa kuongea au kuandika mambo bila hata kufanya utafiti kidogo.
Ukweli ni kwamba mwaka huu, CCM imepoteza mvuto kwa kiwango kikubwa, na sijawahi kushuhudia hali kama hii hapo kabla. Angalia hata umaarufu wa matukio haya mawili: uteuzi wa Mwenyekiti wa CCM pale Dodoma na uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA pale Mlimani City.
Tofauti ni kubwa, na ukiondoa wasanii wa vichekesho na Bongo Fleva ambao walikuwa wakipost mambo yao na kuonekana wako pale, hakuna kingine kilichovutia sana.
Hata hapa JF, threads nyingi zimekuwa zikihusu uchaguzi wa CHADEMA, na mpaka sasa mshindi kapatikana, lakini mijadala bado inaendelea kwa moto. Kiukweli, tangu nikiwa mtoto, sijawahi kuona kitu kama hiki.
Hongera sana Tundu Antipas Lissu, na pia hongera sana Freeman Mbowe kwa kutekeleza katiba ipasavyo.
Nitoe rai kwa CCM: wajifunze kutoka kwa wenzao.
Naam, MUNGU afanye hivyo kabisa kabisa jamani.sure ingekuwa ni marekani tungeshajua 2025 rais ni nani? ila Tuombe Mungu wenda akashusha neema zake
koote hata samaki baharini story zao ni CDM na haijawah tokea, mm ntaenda lumumba kwa kujtolea kufundisha hizi people about democracychadema wanawanyima ccm usingizi,wanajiuliza huu uwazi chadema wanauwezaje
kama viongozi wako wanatafuta tention ktoka instagram na sio kwa wananchi wenye viswaswadu unategemea nn?Bozi boziana kashakunja hela za walipa kodi karudi zake Kinshasa.
Akina Doto Magari na wasanii wote wako busy kutumia hela za walipa kodi kana kwamba nchi ni ya kwao wenyewe.
huo ndo ukweli af sasa kuna mahali tunaelekea sio pazuri ipo sku ntaelezaCCM wajitafakari, haijawahi kuwa hivi before, kuna pahala wameteleza
Kwani yeye naye ni mwanachama wa CHADEMA?Jamaa yako nyani amekurupuka kuanzisha uzi wakulia lia eti kura zimecheleweshwa.
Kuna haja gani ya kuwa na haraka halafu mchakato uwe na makando kando?