Mwaka huu CCM imepoteza mvuto kwa kiwango kikubwa. Uchaguzi wa CHADEMA ni ushahidi tosha

CHADEMA wameonesha mfano wa uchaguzi wa demokrasia unavyokuwa.

Kule CCM ni maigizo tu.
Jamaa yako nyani amekurupuka kuanzisha uzi wakulia lia eti kura zimecheleweshwa.

Kuna haja gani ya kuwa na haraka halafu mchakato uwe na makando kando?
 
Wapambane vilivyo
Sasa kwa kua ndugu zangu wajumbe jambo hili ni haliwezekani halafu pia ni km kituko maana halijawahi kufanyika na halijawahi kutokea tangu chama hiki kianzishwe lakini basi kwa sababu mnalazimisha tusilipitishe hivi hivi liundwe azimio baada ya kuundwa azimio basi kila kitu kitaenda sawa sawa ndugu wajumbe? Lakini pia hakuna wa kutuzuia kufanya jambo letu labda wachawi lakini sasa wale wachawi wote wameshakufa Oya Tusepe
 
Lakini haijapoteza tume huru, wasimamizi na watangazaji wa matokeo ya uchaguzi ni wale wale🐼
 
Waneonesha ustaarabu makubwa sana. Hongera sana mno.
 
CCM wajitafakari, haijawahi kuwa hivi before, kuna pahala wameteleza
 
Bozi boziana kashakunja hela za walipa kodi karudi zake Kinshasa.
Akina Doto Magari na wasanii wote wako busy kutumia hela za walipa kodi kana kwamba nchi ni ya kwao wenyewe.
 
Bozi boziana kashakunja hela za walipa kodi karudi zake Kinshasa.
Akina Doto Magari na wasanii wote wako busy kutumia hela za walipa kodi kana kwamba nchi ni ya kwao wenyewe.
kama viongozi wako wanatafuta tention ktoka instagram na sio kwa wananchi wenye viswaswadu unategemea nn?
 
Wamepoteza au ni mtazamo wako kwasababu hawajaweka sana mambo yao mitandaoni.Ccm ni chama kikongwe kilishakomaa kitambo wao wanafanya mambo yao kama desturi yao sio kwa ajili yakufurahisha watu mitandaoni.Ukubwa wa chama unaonekana kwenye ukomavu na maamuzi sio kwenye shamrashamra za watu ambao hawafanyi maamuzi yoyote.Uku mitandaoni wengi ni vijana ambao wako kishabiki nandio wanaoishabikia chadema ila kwenye meza za maamuzi ya chama na serikali wako wazee wa ccm wenye kuamua kila kitu.Hao kwao mvuto sio tija,tija ni wataamua nini kwa ajili ya kesho yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…