Mwaka huu CCM imepoteza mvuto kwa kiwango kikubwa. Uchaguzi wa CHADEMA ni ushahidi tosha

Chadema walivyoendesha uchaguzi wao, na ambavyo umefatiliwa, utasema wao ndiyo Chama tawala. Hayo ya wasanii ni njaa tu, zinawapeleka. Huo wingi wa wasanii hata Kamala alikuwa na masuper star karibu wa US yote. Ila Big Don akaibuka kidedea.
 
Niliandika hili

Chadema walivyoendesha uchaguzi wao, na ambavyo umefatiliwa, utasema wao ndiyo Chama tawala. Hayo ya wasanii ni njaa tu, zinawapeleka. Huo wingi wa wasanii hata Kamala alikuwa na masuper star karibu wa US wote. Ila Big Don akaibuka kidedea.
Sana madame Nimependa ulivocomment kwenye hii threads🥰🥰🥰🥰🥰
 
Kwamba kuita wasanii wote wale na machawa siyo kuweka mambo mtandaoni!? Kubali tu mkutano ulibuma
 
Wewe jamaa natamani kusema ni mropokaji ila siwezi tu. Unazani katika nchii hii idadi kubwa ni akina Nani au hata nikutajie umri wangu ili ushangae zaidi, wapiga kura watanzania wengi ni vijana na kwann unasema wako chadema ni kwa Sababu wengi ni wasomi na wanajitambua na hawafati mkumbo na pia hao vijana waliopo uvccm wafatilie vizuri wanaishi katika ndoto za wazazi au walezi wao so far Kaka angu wa damu ni kiongozi mkubwa tu uvccm SO jiulize mbona mimi sipo huko ndo utajua vijana wa chadema ni aina gani ya vijana.
NB.KUMBUKA KUTUMIA AKILI KABLA AKILI HAIJAKUTUMIA
 
Mwaka 95 chama kilipopata shida hii, waliweka mdahalo. Mwaka huu wakiweka mdahalo ccm tumekwisha.
 
Mkuu mimi mwenyewe ni CCM ila mwaka huu tumefeli. Samia hatoshi kuwa kiongozi wa chama. Yaani tumeishi nae miaka minne, kwa namna tulivyoishi we unaona ni sawa tuishi miaka mingine mitano hivihivi? Mitanoo?
 
CCM tumelikoroga ila kulinywa hatuwezi. Mgombea yupo slow miaka minne hakuna hata moja la maana lakumbeba. Mimi ntapiga kura ya hasira ili tu ccm wakose.
 
Zaidi ya miaka 60, chama ni hicho hicho tu. Wewe unaweza kula ugari na Maharage kila siku mwezi mzima??..
 
Kweli Maisha yanaenda Kasi sana, yaani CCM wamekuwa wa kujifunza kutoka Kwa CHADEMA.
 
Kwamba kuita wasanii wote wale na machawa siyo kuweka mambo mtandaoni!? Kubali tu mkutano ulibuma
Wewe mwache huyo chizi! Hivi kuna chama kinapenda kuweka mambo mtandaoni kama CCM!
Leo machawa walikuwa wanaandamana kama mbuzi eti wakumuunga mkono Mama kuwa mgombea Urais!
Ina maana hata yaliyafanyika Dodoma bado hawajiamini mpaka anatuma machawa kuweka maandamano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…