Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TatizoTume inajua nani ni mshindi mpaka sasa
Kinga walionayo CCM ni NEC kuwaondoa wagombea kupitia CHADEMA na ACT
Tume inajua nani ni mshindi mpaka sasa
HahaaInamaana November Humphrey Polepole atakua Katibu Mwenezi wa upinzani [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kwanini Magu hakua Mgombea wa CCM mwaka 1995 au 2005?Kwani huyo lisu miaka yote ya uchaguzi si alikuwepo, kwanini chadema hawakumfanya mgombea wao ili ashinde uraisi? Iweje Leo ndio aonekane anaweza? Nadhani machadema yanataka kumuuwa kwa msongo wa mawazo baada ya uchaguzi (atashindwa vibaya)
Huwa unakuwepo vituo vyote nchi nzima au unasikiliza propaganda za wezi wa kura kijani kibichi.Tatizo kwa upinzani ushabiki mwingi midomoni ila siku ya kupiga kura ni emty kabisa hawaendi kama wanavyoshabikia na hiki ndio kinachawaangusha upinzani
Lipi?Tatizo
Tusidanganyane mkuu, kwanini hawataki matokeo yahesabiwe sehemu ya wazi?Sio rahisi Kama unavyofikiria... Namba hazidanganyi.
Usidhanie matokeo ya uchaguzi yatatangazwa Kama takwimu za covd 19 kwamba mtu anaamua tu kutaja namba fulani na watu wakaamin..
Matokeo ya uchaguzi yanahesabiwa ktk kituo Cha uchaguzi na kujumlishwa na idadi ya sehemu zingine... Hizo takwimu kila chama kitakuwa na utaratibu wake wakukusanya taarifa sio kutegemea NEC pekee.
Kila kitu kinajieleza huko upinzani washabiki wengi ni vijana shida siku ya kupiga kura uke mwamko haupoHuwa unakuwepo vituo vyote nchi nzima au unasikiliza propaganda za wezi wa kura kijani kibichi.
Kuna mmoja kapandisha uzi humu eti kuna mlevi wa mataputapu anapita kwa walevi wenzie kumnadi Lissu wakati hao walevi hata hawajui id zao za kupigia kura zilipo.Kila kitu kinajieleza huko upinzani washabiki wengi ni vijana shida siku ya kupiga kura uke mwamko haupo