The Supreme Conqueror
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 609
- 1,584
Wakuu habari ndiyo ni kwamba kama ilivyozoeleka tangu Mhe. Rais Samia aingie madarakani 2021 serikali ilianzisha Tamasha la Kizimkazi kwa lengo la kuenzi tamaduni za asili,uzinduzi wa miradi ya Serikali huko visiwani pamoja shughuli mbalimbali za kijamii.
Tamasha hilo ambalo limekuwa maarufu nchini ukilinganisha na ukubwa wake kwa mwaka huu 2025 halitokuwepo rasmi.
Kutokuwepo kwake imekosesha wafanya biashara,watalii na wasanii fursa mbalimbali za kiuchumi.