1. hutaweza kusikiliza radio bila bando
3.Hakuna tundu la kuingiza earphone, hapa hadi ununue vifaa vya ziada, huku android ukinunua ear phonr unaitumia hapo hapo
3. andaa laini moja tu, kuna matoleo machache sana yenye laini 2.
4.Kudownload nyimbo kwa wepesi sahau
5.Kuhamisha vitu kutoka kwenye simu kwenda kwenye pc ni shughuli pevu.
6. Apps kibao zipo android kuliko iphone
7. Non restricted access ipo kwa android kwasababu unaweza ku root ukafanya vingi vya ziada, Kwa iphone hapa ni mtihani inabidi uwe mvumilivu.
8. Kwenye android unaweza kutumia simu kama remote kwa vifaa kama samsung, lg ,n.k....huko kwa apple so rahisi labda kwa tv zao za apple tv
9. Android utaweza kuback up vitu vyako kwenye memory card na pia unaweza kubadili battery kwa wepesi bila hata kwenda kwa fundi, lwa iphone hizi feautures sahau.
10. Kwenye i phone ku customize vitu kuna vikwazo, mfano ringtone utachagua tu wanazotaka wao iphone na inakuwa sekunde 30 tu, huku android ringtone uutaweka hata ya kingwendu ni wewe
11. kitaa cha notification hakipo kwenye iphone, mfani message ikiingia kama simu ipo silent huku android kataa kanawaka.
12. hutaweza kuseti default app, utaweza kudownload app mbadala ya kufungua mafaili lakini hutaweza kuiseti iwe ya moja kwa moja, kika ukifungua faili litafunguliwa na app ya mwanzoni
13. huku andoid kuna feauture ya multiple user account, naweza nikatengeneza user yangu na usr ya mtoto, mtoto akiomba simu naweka user yake hataona chochote cha kwenye acxount yangu zaidi ya ishu zake kama games na cartoon, huko i phone inabidi mtoto asimamiwe anapotumia sim asije kwenda kwenye vitu vyako vya kiutu uzima
Chief-Mkwawa endelea