Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,074
Kila la kheri mkuu!
๐พ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐.
mkuu nakushauri ujipe challange ya kutafuta hela zaidi,Kumjua Mungu zaid na ,kujali afya yako zaidi
hayo mambo ya pisi kali yawe mambo ya option siyo lazima hadi ujiapizie
Haya hapa ndiyo malengo ya mwenzetu ambaye kama Taifa tunatarajia kufikia uchumi wa kati wa juu(upper middle income economy na kuwa nchi ya viwanda 2025!!)
mkuu nakushauri ujipe challange ya kutafuta hela zaidi,Kumjua Mungu zaid na ,kujali afya yako zaidi
hayo mambo ya pisi kali yawe mambo ya option siyo lazima hadi ujiapizie
๐๐๐๐ Hahaaa umenifurahishaHayo jiwekee wewe, usipangie wenzako... pengine hela tayari wanazo na Mungu washamjua!
Naunga mkono hojaSema kweli mwaka huu 2021 sitarudia tena uzembe wa ku date na pisi za kawaida sana! Nataka challenge mpya nataka nichukue pisi Kali tu na ikiwezekana mmojawapo nivute ndani kabisa!
Mtaji ama chambo nitachotumia ni uongo uongo mwingi na ukweli kidogo maana pisi kali bila chai [emoji477]๏ธ za uongo na kweli utaishia kuchukua pisi mbovu mbovu! Nimechoka kuchukua pisi za kawaida!
N:B,kwenye mchakato huu sitaangalia Akili za mwanamke maana hazijawahi kumpeleka mwanaume popote [emoji28]
Utoto raha sana!
Hayo jiwekee wewe, usipangie wenzako... pengine hela tayari wanazo na Mungu washamjua!
Sema kweli mwaka huu 2021 sitarudia tena uzembe wa ku date na pisi za kawaida sana! Nataka challenge mpya nataka nichukue pisi Kali tu na ikiwezekana mmojawapo nivute ndani kabisa!
Mtaji ama chambo nitachotumia ni uongo uongo mwingi na ukweli kidogo maana pisi kali bila chai [emoji477]๏ธ za uongo na kweli utaishia kuchukua pisi mbovu mbovu! Nimechoka kuchukua pisi za kawaida!
N:B,kwenye mchakato huu sitaangalia Akili za mwanamke maana hazijawahi kumpeleka mwanaume popote [emoji28]
kabla sijachangia niulize swali naweza pata simu used nifanye kutumia? Hii kitochi yangu inanisumbua sana.Sema kweli mwaka huu 2021 sitarudia tena uzembe wa ku date na pisi za kawaida sana! Nataka challenge mpya nataka nichukue pisi Kali tu na ikiwezekana mmojawapo nivute ndani kabisa!