Mwanasayansi Kalivubha
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 344
- 926
MWAKA HUU USIAGE KILA MTU, WASHITUKIE UMEFIKA.
Karibu 2025 !
Bila shaka tayari umefanya tathimini kuangalia sababu nyuma ya kushindwa kwako katika baadhi ya malengo na inawezekana hujaona sababu hii YA KUAGA HOVYO.
Sasa nikwambie KUAGA HOVYO ni kikwazo pia kikubwa cha kushindwa kwa sababu hizi:
1.Watakwambia utashindwa hivyo uache hiyo safari hapa hata ndugu zako watakwambia hivyo kama vile wanakuonea huruma kumbe nyuma yake kuna uharibifu.
2 Watakuharibia, wivu utawasumbua hivyo watafanya namna yoyote wakwamishe safari yako.
3.Watakupa mifano ya watu waliokuwa na safari kama yako ila wakashindwa.
4.Wengine watajaribu mpaka ushirkina ili wakukwamishe kwa sababu wanajua ukifika salama tu utafaidika.
# Mwanasayansi Saul Kalivubha.
#Fikia Ndoto Zako