bahatibahati
Member
- Jul 4, 2023
- 44
- 84
HAKIKA MCHENGERWA, Ridhiwani na Simbachawene mmewaingiza watumishi choo cha kike, kwani pamoja na kuwatuma maafisa mbalimbali Kila Kona ya nchi kuongea na watumishi hakuna hata kimoja kilichotekelewa.
Hakuna cha Madaraja, mserereko, msawazo uliofanykka. Hii ni fedha kubwa kwa watumishi wa umma. Hii itasababisha kushuka morali ya utendaji kazi.
Kulikuwa na haja gani kuzunguka nchi nzima kuongea na watumishi? Kwanini mnadanganya watumishi?
Inawezekana maafisa walibuni utaratibu wa kupata posho ya SIKU ?kwa kuzunguka Kila mkoa?
Hadi juzi maafisa walikuwa wanaendelea kudanganya na kutoka ahadi lukuki.
Amakweli hatupaswi kuiamini serikali kutokana na kilichofanywa.
Wamewalaghai watumishi kwa muda mrefu na vyama vya wafanyakazi kama CWT, TALGHU haviwasemei wafanyakazi.
PIA SOMA
- Madaraja na mserereko wa madaraja kwa watumishi ni porojo tu. Serikali hakuna hela?
- Uongo wa Serikali katika kupandisha watumishi madaraja mwaka wa fedha 2023/2024