Mwaka huu watu wa diploma wanaoenda Bachelor hamna mkopo

Watu wanataka hadi mkopo wa Diploma, then wapate na mkopo wa Degree. Kuja kumaliza hiyo mikopo kwa ajira hizi ni miaka mingi sana.

Diploma mambo huwa sio mengi kama mtu anaweza kujitahidi kuiepuka mikopo.
 
Umemaliza mtu kasoma O'level tu Ada Jumla 2.8M anaenda Chuo tena cha Public ambapo Ada 1.4M analialia anataka mkopo, Hii issue inatesa sana mtumishi basi tu
Mkuu maisha yanabadilika na kipato kinaweza kushika.
Kuna wengine walisomeshwa kwa msaada. Huwezi kulazimisha msaada hadi bachelor degree.
 
Au mlemavu, ajivunje mguu awe chiba anapata mkopo 100%
Hio ni ngumu kumeza unaweza usipate, hapo ni sawa kuambiwa ili usome bure fanya kosa la jinai nenda jela kwa kipindi chote unachotaka kusomea kozi fulani maana wafungwa wanasoma bure hawalipi hata 100 mbovu, huku mnasoma mnalipa maada wafungwa hawalipi kitu na wanachukua shahada zao wakiwa kifungoni bure kabisa
 
Hatar ndo hapo asubir tu neema ya bwana, maana wenye uhakika wa kupata mkopo kwa asilimia zote ni walemavu tu na hao wa tasaf wengne ni neema ya Mungu
 
Wengine ni wafungwa wanaosoma bure kwa ufadhili wa Serikali ni bure mfungwa kusoma
 
Back
Top Bottom