Mwaka jana hii ndio ilikuwa sababu ya mimi kutopata Wasichana warembo. Mwaka huu nimebadilika

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,254
Reaction score
5,161
Mwaka jana nlikosa mademu wengi wakali sababu sikuwa na chambichambi, umatemate, ndarama au mkwanja. Nlikuwa wengine nawapata kwa maneno na ahadi kisha nikiwala wakiona sitimizi ndo basi wananipotezea.

Mwaka huu nimebadili kabisa utaratibu. Mwaka jana nliweza angalau tabasamu nao, kula nao na kunywa na kuahidiana. Nilijitahidi kuwa na ukaribu huo kwao ingawa baadaye either nlikula kwa shida au sikula kabisa nikaishia kuchora.

MWAKA HUU NIMEBADILI KABISA UTARATIBU. SICHEKI NA WOWOTE.

NITAKULA JIWE NITABAKI NA MIMI TU.SIHONGI HATA THUMUNI.
 
Kumbe unapenda stress, mademu wa siku hizi ni wa kuwala tu na kuwaacha si wa kuwatilia maanani hata kidogo.
 
Kila mmoja abaki na vyake. Usitoe Hela usitafute vya wengine pia, rahisi tu.
 
Back
Top Bottom