Mwaka jana nlikosa mademu wengi wakali sababu sikuwa na chambichambi, umatemate, ndarama au mkwanja. Nlikuwa wengine nawapata kwa maneno na ahadi kisha nikiwala wakiona sitimizi ndo basi wananipotezea.
Mwaka huu nimebadili kabisa utaratibu. Mwaka jana nliweza angalau tabasamu nao, kula nao na kunywa na kuahidiana. Nilijitahidi kuwa na ukaribu huo kwao ingawa baadaye either nlikula kwa shida au sikula kabisa nikaishia kuchora.
MWAKA HUU NIMEBADILI KABISA UTARATIBU. SICHEKI NA WOWOTE.
NITAKULA JIWE NITABAKI NA MIMI TU.SIHONGI HATA THUMUNI.