Sherlord32
New Member
- Sep 11, 2024
- 2
- 3
Kama hukuenda chuo maana yake hukutumia hata shilingi mia yao, maana yake hayo ni makosa, inabidi uende ofisi zao wakakurekebishie.Wana JF,
Mwaka Jana niliomba mkopo na nikapewa ila kutokana na matatizo binafsi ckuweza kwenda chuo Sasa Mwaka huu nimeapply mkopo tena ukagoma naambiwa nilipie asilimia 25 ya mkopo niliopewa hio imekaaje wadau kwa mwenye uelewa anisaidie.
Ada pia inabidi usaini, kama hajasaini haina shida, ila kama alisaini bac hamna namna inabidi alipe hio 25%Kama hujawahi chukua hata Mia moja, kuna mtu Alichukua pesa zako mkuu, hasa hasa za ada
Na utasumbuka sana kupata mkopo ,kuna uwezekano usipate kabisa.Wana JF,
Mwaka Jana niliomba mkopo na nikapewa ila kutokana na matatizo binafsi ckuweza kwenda chuo Sasa Mwaka huu nimeapply mkopo tena ukagoma naambiwa nilipie asilimia 25 ya mkopo niliopewa hio imekaaje wadau kwa mwenye uelewa anisaidie.
Swali kidogo kijana , je uliwahi kutumia boom kama sehemu ya huo mkopo kwa hata senti 1?Wana JF,
Mwaka Jana niliomba mkopo na nikapewa ila kutokana na matatizo binafsi ckuweza kwenda chuo Sasa Mwaka huu nimeapply mkopo tena ukagoma naambiwa nilipie asilimia 25 ya mkopo niliopewa hio imekaaje wadau kwa mwenye uelewa anisaidie.
ChaiNa utasumbuka sana kupata mkopo ,kuna uwezekano usipate kabisa.
HapanaSwali kidogo kijana , je uliwahi kutumia boom kama sehemu ya huo mkopo kwa hata senti
Basi peleka malalamiko yako bodi ya mkopo naimani kama hakuna janja janja zilizofanyika watakusaidiaHapana