johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Umeme kuna maboresho yanaendelea!Umeme shida
Upigaji wa madili umerudi kwa kasii
Hayo ni maoni yako!Shujaa gani yule mwehu, muuaji katili na mpenda nisifanye
Ni ukweliHayo ni maoni yako!
Kwani kumuita yule jamaa kuwa mshikishwa ukuta pia ni kuivunjia hadhi jf?Uh meivunjia hadhi Jamiiforums kwa kumuita shujaa yule jiwe bin shetwani asiye na haya.
Tutake radhi
Ongesa na MkumboTumuulize Ndugai na Chalamila
Anaishi kama digidigiShujaa wa kolomije hakuna shujaa mshamba kama yule
Tena ilikuwa ni laana kwa taifaShujaa gani yule mwehu, muuaji katili na mpenda nisifanye
Kwa wahuni kama nyie lazima.Shujaa gani yule mwehu, muuaji katili na mpenda nisifanye
Haya maneno sio ya kusemwa na mtu wa heshima kama wewe bana!Ninasikia ule moto wa Jehanam hauzoeleki, kila leo unaona afadhali ya jana.
Kumbe unasikia tu kwa ndesa!Ninasikia ule moto wa Jehanam hauzoeleki, kila leo unaona afadhali ya jana.